Amekuoa lakini lazima asote kupata tendo la ndoa

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
23,675
55,843
Japo amekuoa, kuipata papuchi yako lazima akubembeleze sana na umfikirie sana, ndipo aipate. Siyo kwamba kwa kuwa amekuoa basi anakuwa anakugeuza na kukutumia kadri apendavyo. No! No thank ü.

Atakuchakaza. Unatakiwa uendelee kutizamwa ukipita barabarani. Si unajua tena mwanamke kupendeza? Wengine wanasema mwanamke mazingira.

Wanaume wamekuwa na tabia ya kumgegeda mke frequently na ukikubaliana naye atakuchakaza halafu aanze kutamani vibinti vidogo. Lazima mwanamke uendelee kutunza urembo wako kwa kutoa papuchi yako aste aste (namaaanisha kwa nadra). Kuna visingizio vingi unaweza kutumia mfano: sijisikii, nimechoka, niko mp, n.k.

Na ikatokea mumeo kachepuka, ukainyaka na kuthibitisha na wewe muonyeshee kuwa unaweza kuchepuka. Chepuka na wewe makusudi mazima. Maana si unavyo vigezo vya kuchepuka? Ndiyo. Bado unalipa.

Wanawake hunyanyasika sana, unakuta yeye kakongoroka aliyemkongorosha anaanza kutia jeuri. Sasa dawa yenu ndiyo hiyo.

Mapenzi siyo kuchomeka tu!
 
HAPO KWENYEWE MBONA IMESHACHAKAZWA KABLA YAKUOLEWA

Ni wachache sana mkuu. Uliyempata alikuwa na tabia hiyo tangu utotoni, ndiyo maana akakupa na ww. Asiyetoa kamwe hutapewa kama si mumewe
 
Sasa unataka kuwa mpya mpaka lini jamani? Hebu nenda kwanza wakorintho 2 sura ya 7 anza na aya ya nne walau mpaka kumi kma nitakuwa nmekosea rudi ya kwanza sura hyo yho na aya n hyo hyo (bible)
 
Sasa unataka kuwa mpya mpaka lini jamani? Hebu nenda kwanza wakorintho 2 sura ya 7 anza na aya ya nne walau mpaka kumi kma nitakuwa nmekosea rudi ya kwanza sura hyo yho na aya n hyo hyo (bible)
maneno ya mungu yanafanya kazi sana kama na mwenzi wako naye anayaamini na kuyafanyia kazi. Nati ya baiskeli inaingia kwenye boliti ya baiskeli
 
Back
Top Bottom