Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 75,227
- 157,422
Mwanaume umemdanganya mkeo eti sanamu ya Posta umechonga wewe. Unakufa, huku nyuma mkeo anaibuka Anadai eti mumewe ndiye mchongaji wa sanamu.
Aibu... Aibu...... Aibu! Uwongo wetu unawaaibisha wake zetu.
Wacha tutafute ujiko kwa mambo mengine lakini sio kwa kudanganya
Aibu... Aibu...... Aibu! Uwongo wetu unawaaibisha wake zetu.
Wacha tutafute ujiko kwa mambo mengine lakini sio kwa kudanganya