Miaka yetu ile haya ndo yalikuwa malalamiko makuu katika Ndoa/Mahusiano kwa Wanaume na Wanawake.

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,651
14,318
Siku kwa kweli hazigandi, na hizi za miaka hii ndo kabsaaaaa...sijui zimekuaje kutokana na kizazi hiki kilichopotoka. Miaka ile ilikuwa sisi wanaume tukikaa jioni tunapiga story na kunywa mbege,kimpumu,komoni au hizi pombe za kisasa haya ndo ambayo ungeyasikia.

MIAKA YA ZAMANI.
WANAUME

1. Shemeji yenu pumzi inakata mapema sana ukimpiga bao 5 anataka tuahirishe mechi au twende kwenye mikwaju ya penati ili mechi iishie haraka apumzike halafu asubuh tulianzishe tena kabla ya kwenda shamba. sasa hapo nafanyaje" unamuuliza mzee lugoba. anakujibu tu kwa ufupi "oa mke mwingine amsaidie"

2. Wanaume wenzangu tatizo litakuwa nini maana kwa sasa naona nimepunguza sana kula nakula paja moja tu la mbuzi na nabakiza kidogo. Hapo mzee nguyenge anakwambia kachume majani ya mwarobaini ya kujaa viganja viwili. Chemsha na maji ya kujaa kibuyu kidogo unywe fanya mara mbili asubuh na jioni. na unapona kesho yake unaweza kula hadi mbuzi mzima ukamaliza.

3. Mke wangu ameanza ujeuri nimerudi nimesubiri dk 10 nzima hajaleta chakula mezani naona sasa ameanza kuzembea. hapo utaulizwa."mara ya mwisho kumchapa makofi lini?" ukijibu ni mwezi sasa. utaambiwa ..."ndo maana ameshaanza kukuona fala na huna mapenzi leo ukirudi piga hodi mara moja kama hajasikia mtandike hasa mpaka apoteze fahamu" kesho ukirudi kabla hujapiga hodi anakukumbatia kwanza"

WANAWAKE NAO WAKIKAA KULALAMIKA
1. Hee mwenzenu sijui hata nifanyeje baba kigwasu akirudi tu usiku anataka game usiku kucha na akipanda hashuki mpaka nimbembeleze nikilala hoi.

2. Hivi kuna njia gani zaidi nifanye ili azidi kunipenda asioe mke mwingine? Nataka nizalie watoto wa kutosha wenye nguvu na uwezo wa kuchapa kazi.

3. Mwaka huu nataka tulime sana na kuvuna ili mume ale ashibe na kupiga jembe hasa. nyie wenzangu mnafanyaje maana jamaa sasa naona kama anapiga mpini chini ya kiwango akienda sana ni saa moja tu.

MAISHA YA SASA YALIVYO.

WANAUME.
1. Jana nimepiga bao mbili za chapchap hapa nimechoka ile mbaya wapi naweza kununua ile dawa ya kuongeza nguvu nataka leo nikapige hata 3.

2. Daa washakji mwenzenu nakula sana. nmekula chips yai na soseji mbili na soda nikamaliza hapa nipo hoi nasinzia tu. sijui nina minyoo..si kwa ulaji huu.

3. Demu/mke wangu ananikataza nishike simu yake. nikirudi home namkuta tu anaangalia bongo movie miguu ipo juu ya meza nikimuuliza chakula ameweka wapi nikachukue ananambia leo hajapika nikanunue chips. Ananiudhi nikimuuliza chips za nani nzuri kati ya mangi na mpemba hajibu. hapo wana mi nafanyaje? sometime nalia tu usiku mzima nalala.

4. Jana nimewapiga madongo sana team bitozi nimewaambia sisi mabrazamen tunapiga pamba za kufa mtu si wao. Halafu nasikia demu wa mond anatoka na papa shongolo.pedezee kikoti pesa manoti naye anakula mzigo kwa lady makalios.

WANAWAKE.
1. Shemeji yenu ananibore sana akipiga bao moja ndani ya dk 3 analala anakoroma usiku kucha.Yaani ndo kama amekufa hapa nawaza sijui nifanye nini

2. Hivi dildos gani nzuri zile za plastic au za mbao? niwe najihudumia mwenyewe wanaume wenyewe wa siku hizi kichomi kweli

3. Mwenzenu hapa chakula home kinamwagwa tu baba shebendu akija jioni hata kula hali sana anaishia kula vijiko viwili na kulala hoi jinsi anavyochoka na kazi.

4. Fasheni gani imeingia ya wigi na suruali? Kile kitop cha kipindi kile sikukipenda nipo nawaza nifanyeje sasa nipate kingine. Nataka nikipta njiani wanaume wote macho kodo kunitizama. na waisome namba.

Haya ni baaadhi ya mambo yaliyokuwa yakijadiliwa miaka ile sisi tunakua na miaka hii sasa tunazeeka. Kuna tofauti kubwa sana maisha yamebadilika. TUMETOKA MBALI SANA. DUNIA INABADILIKA.
 
siku kwa kweli hazigandi, na hizi za miaka hii ndo kabsaaaaa...sijui zimekuaje kutokana na kizazi hiki kilichopotoka. miaka ile ilikuwa sisi wanaume tukikaa jioni tunapiga story na kunywa mbege,kimpumu,komoni au hizi pombe za kisasa haya ndo ambayo ungeyasikia.

MIAKA YA ZAMANI.
WANAUME

1. shemeji yenu pumzi inakata mapema sana ukimpiga bao 5 anataka tuahirishe mechi au twende kwenye mikwaju ya penati ili mechi iishie haraka apumzike halafu asubuh tulianzishe tena kabla ya kwenda shamba. sasa hapo nafanyaje" unamuuliza mzee lugoba. anakujibu tu kwa ufupi "oa mke mwingine amsaidie"
2. wanaume wenzangu tatizo litakuwa nini maana kwa sasa naona nimepunguza sana kula nakula paja moja tu la mbuzi na nabakiza kidogo. hapo mzee nguyenge anakwambia kachume majani ya mwarobaini ya kujaa viganja viwili. chemsha na maji ya kujaa kibuyu kidogo unywe fanya mara mbili asubuh na jioni. na unapona kesho yake unaweza kula hadi mbuzi mzima ukamaliza.
3. mke wangu ameanza ujeuri nimerudi nimesubiri dk 10 nzima hajaleta chakula mezani naona sasa ameanza kuzembea. hapo utaulizwa."mara ya mwisho kumchapa makofi lini?" ukijibu ni mwezi sasa. utaambiwa ..."ndo maana ameshaanza kukuona fala na huna mapenzi leo ukirudi piga hodi mara moja kama hajasikia mtandike hasa mpaka apoteze fahamu" kesho ukirudi kabla hujapiga hodi anakukumbatia kwanza"

WANAWAKE NAO WAKIKAA KULALAMIKA
1. hee mwenzenu sijui hata nifanyeje baba kigwasu akirudi tu usiku anataka game usiku kucha na akipanda hashuki mpaka nimbembeleze nikilala hoi.
2. hivi kuna njia gani zaidi nifanye ili azidi kunipenda asioe mke mwingine? nataka nizalie watoto wa kutosha wenye nguvu na uwezo wa kuchapa kazi.
3. mwaka huu nataka tulime sana na kuvuna ili mume ale ashibe na kupiga jembe hasa. nyie wenzangu mnafanyaje maana jamaa sasa naona kama anapiga mpini chini ya kiwango akienda sana ni saa moja tu.

MAISHA YA SASA YALIVYO.

WANAUME.
1. jana nimepiga bao mbili za chapchap hapa nimechoka ile mbaya wapi naweza kununua ile dawa ya kuongeza nguvu nataka leo nikapige hata 3.
2. daa washakji mwenzenu nakula sana. nmekula chips yai na soseji mbili na soda nikamaliza hapa nipo hoi nasinzia tu. sijui nina minyoo..si kwa ulaji huu.
3. demu/mke wangu ananikataza nishike simu yake. nikirudi home namkuta tu anaangalia bongo movie miguu ipo juu ya meza nikimuuliza chakula ameweka wapi nikachukue ananambia leo hajapika nikanunue chips. ananiudhi nikimuuliza chips za nani nzuri kati ya mangi na mpemba hajibu. hapo wana mi nafanyaje? sometime nalia tu usiku mzima nalala.
4. jana nimewapiga madongo sana team bitozi nimewaambia sisi mabrazamen tunapiga pamba za kufa mtu si wao. halafu nasikia demu wa mond anatoka na papa shongolo.pedezee kikoti pesa manoti naye anakula mzigo kwa lady makalios.

WANAWAKE.
1. shemeji yenu ananibore sana akipiga bao moja ndani ya dk 3 analala anakoroma usiku kucha.yaani ndo kama amekufa.hapa nawaza sijui nifanye nini
2. hivi dildos gani nzuri zile za plastic au za mbao? niwe najihudumia mwenyewe wanaume wenyewe wa siku hizi kichomi kweli
3. mwenzenu hapa chakula home kinamwagwa tu baba shebendu akija jioni hata kula hali sana anaishia kula vijiko viwili na kulala hoi jinsi anavyochoka na kazi.
4. fasheni gani imeingia ya wigi na suruali? kile kitop cha kipindi kile sikukipenda nipo nawaza nifanyeje sasa nipate kingine. nataka nikipta njiani wanaume wote macho kodo kunitizama. na waisome namba.

haya ni baaadhi ya mambo yaliyokuwa yakijadiliwa miaka ile sisi tunakua na miaka hii sasa tunazeeka. kuna tofauti kubwa sana maisha yamebadilika. TUMETOKA MBALI SANA. DUNIA INABADILIKA.
hahah maisha hayajabadilika boss, ni exposure na utandawaz ndiyo inatufanya tujue maisha ya watu, kama tunavyokujakuongea ishu zetu za chumban humu...
 
Nmekumbuka hadith fulani hivi
Familia ilinunua roboti ukawa ukisema uongo linakuchapa kibao
Baba: We mtoto mbona umefeli namna hii enzi zangu nilikua nashika nafasi ya kwanza
Roboti likampiga kibao baba
Baba: Nilikuwa nashika nafas ya pili
Roboti likampiga tena kibao
Baba: Nilikuwa nashika nafas ya tatu
Roboti likampiga tena kibao
Mchezo ukaendlea mpaka aliposema alikuwa anashika nafasi ya mwisho na roboti likaacha.
 
ha ha ha..... hili limekuwa tatizo kubwa sana hasa kwa wenzangu wa mikoani wengi wakifika mjini huwa wanapatwa na mfadhaiko. na hilo nimewah lishuhudia chuoni nikifanya masters room mate wangu aliji nanii... bada ya kuona mapaja ya mwanafunzi mwenzangu room alikuja kufanya discussion. jamaa alitoka mkoa flan huko hakuwah kukutana na mambo kama haya.

Mzee wangu baadhi ya vijana wa skuhz Hata akiona chupi tuu ana plzzz, kiuno hoiiiiiii analala.
 
ha ha ha..... hili limekuwa tatizo kubwa sana hasa kwa wenzangu wa mikoani wengi wakifika mjini huwa wanapatwa na mfadhaiko. na hilo nimewah lishuhudia chuoni nikifanya masters room mate wangu aliji nanii... bada ya kuona mapaja ya mwanafunzi mwenzangu room alikuja kufanya discussion. jamaa alitoka mkoa flan huko hakuwah kukutana na mambo kama haya.
Hayahayaaaaaaaaaaaaaaa

Ligi ndogo

Wa Darisalama vs mikoani

Cc Smart911
 
Hayahayaaaaaaaaaaaaaaa

Ligi ndogo

Wa Darisalama vs mikoani

Cc Smart911

Hahaha... alafu unakuta zamani watu wanakula sana lakini hawananepi... siku hizi hatari...
Ila mimim you know mahondaw chakula kidogo sishibi kabisa...
Na hata hivyo maisha na zama hubadilika... zamani nguvu nyingi akili kidogo... ndiyo maana.. siku hizi akili nyingi nguvu kidogo...
 
Hahaha... alafu unakuta zamani watu wanakula sana lakini hawananepi... siku hizi hatari...
Ila mimim you know mahondaw chakula kidogo sishibi kabisa...
Na hata hivyo maisha na zama hubadilika... zamani nguvu nyingi akili kidogo... ndiyo maana.. siku hizi akili nyingi nguvu kidogo...

haaaaaaaaaaaaaa ni balaa wewe habari ya kuku wawili pekeako unafikiri mazuri!!
 
Back
Top Bottom