Kibundi wa getto
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 455
- 877
Wakuu kuna baadhi ya makabila bado yana tabia za kwenda nyumbani kwao kuoa.Unakuta mtu katafuta sana maisha sasa anaamua kurudi kwao kuoa mke wa kabila lake.
Wengi wao hutumia mda mdogo sana kuchagua mke na kisha kurudi nae mjini. Kwa uzoefu wangu mdogo nimeshuhudia mtu katumia mwezi 1 tu kufuata mke kijijini.
Je nini faida na madhara ya huu mtindo?
Wengi wao hutumia mda mdogo sana kuchagua mke na kisha kurudi nae mjini. Kwa uzoefu wangu mdogo nimeshuhudia mtu katumia mwezi 1 tu kufuata mke kijijini.
Je nini faida na madhara ya huu mtindo?