GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,318
Jamaa yangu uledi huwa analaani sana akisikia wanaume wa mjini. anasema miaka ya nyuma alikuwa na bint mmoja alimpenda sana huko morogoro.kawa yule bint amefanikiwa kuja kusoma chuo dar. anasema kwa kuwa yeye alikuwa anampenda na alifanikiwa kusoma mpaka kidato cha sita akaona ni jambo jema na alikuwa ameshajitambulisha kwa wazaz wa mwanamke so akachangia pesa kibao bint aje kusoma chuo dar. anasema mara ya kwanza walikuwa wanawasiliana vizuri tu.semester ya pili mambo ya kaanza kubadilika binti akawa busy sana n.k akipiga simu bint hapokei akija kupokea late sana anasema alikuwa darasan au kwenye discussion. kifupi alikuja kugundua kuna jamaa wa town anakula mzigo ambao yeye aliambiwa asubirie mpaka wafunge ndoa. mjanja wa town akajifungulia issue akaanza itumia. mpaka leo analaani na hataki kabisa kusikia habari za wanawake na hawa wanaume wa mjini.
kuna kisa kingine cha jamaa mmoja tulisoma naye chuo. yeye mwaka wa kwanza alifanikiwa kuja na demu wake toka kigoma wakafaulu wote wakaja udsm. wakawa wanasoma sociology.haikupita miezi kadhaa yule bint akaanza kupendeza pendeza sana. jamaa kumbe naye akipokea boom anajibana anampunguzia demu. demu akazidi kupendeza. naye akagundua jamaa si level yake.akaanza kuachia kwa brazamen mmoja pale chuo.mwishowe akampiga chini jamaa waliye anza naye mahusiano huko kigoma. jamaa wa kigoma anasema yule jamaa wa town alikuwa brazemen anapiga uzi ,manukato na ngozi laini. demu akapenda sana na mapozi ya kiborn town. jamaa kajenga chuki sana kwa wa mjini.mpaka leo hatak hbr za wamjini.
kisa kingine jamaa pia alikuwa na demu wake mkoani huko mwanza.unawajua wasukuma walivyo wapole. demu akapata likizo kuja kusalimia town. alipokuja town akakaa kaa kama mwezi hvi jamaa mmoja akaanza kumpigia misele na unajua watu wa town maneno maneno mengi na ulumbilumbi wa kutosha. binti akajichanganya kidogo akipelekwa mliman city kuangalia sinema n.k akaachia jamaa akamla na kujaza mimba. baada ya muda bint karudi mwanza.kabadilika jamaa akitaka kumkamua binti anamwambia amwandae wazungu wanaita foreplay. yule msukuma wa watu yeye hajui mambo hayo anajua tu kuwa ikisimama basi anachomeka eneo flan... yule dada akawa anataka mpaka anyonywe...jamaa akawa anashangaa mashokolo mageni. mara akaja kugundua bint ana mimba na aliipata town. basi chuki yake mpaka leo kwa watu wa mjini anaitole huku jamiiforums.
inasemekana jamaa wengi wa bush wamepoteza wapenzi wao kwa wanaume wa town na ndo maana kuwakatisha tamaa wanawaambia wanaume wa town hawana nguvu za kiume n.k wadada wakija huku wakijaribu wanashangaa kuwa mbona zipo na zimejaa tele. na pia wanapata vitu adimu ambavyo bush hamna. kule musoma huwa wanaambiwa tu watanue miguu ili jamaa aingize. mikoa mingine nasikia mpaka bint apigwe mtama... huku town wanabembelezwa hata huwa hawaelewi chupi imevuliwa saa ngapi. wanajikuta tu hawana chupi na kwa mara ya kwanza wame come. wakati bush ni mwendo wa kusugua tu mpaka wachubuke au watokwe damu.
mi nadhan sasa kuna haja ya kusameheana na kupeana ujuzi wa mapenzi ya kisasa. chuki za nini wakati wote ni watanzani? sisi wote vijana, sisi si watu wa kulumbana. nipe tano nikupe tano....haina kwere masela. Kwangu kwako,kwangu kwako haina mfano ndalilo. Uongo?