goodluck j lema
Member
- Oct 27, 2015
- 17
- 5
Naomba kuuliza tuu jamani kuna jambo limenikuta na linanikera sana.
Kuna mdada nilimwonyesha kumpenda na akajua nampenda kwenye kumwalika ili tuongee nimwage sera zangu, alinata sana nikachoka kuona hajali kabisa, nikaachana na habari hizo.
Sasa cha ajabu amekuwa kero kwangu anaongea maneno ya kejeli kama vile;
Hujatulia wewe
Mara anafatilia nani nina mahusiano naye
Mara unaishi wapi
Mara umeoa
Mara mwanamke gani atakuwa tayari kuolewa na wewe
Kweli ananikera sana zaidi ya yote tulikuwa ofsini akafanikiwa kuchukua simu yangu kapekuwa picha kila msichana aliyeona nimepiga naye picha anasema nimelala naye kama vile ana nihesabia tena mbele za watu kweli ananivunjia heshima sana.
Naombeni msaada nini nifanye jamani.