Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,581
Inaniuma sana mchumba wangu anaposhindwa kuwa huru mm kuaccess simu yake, anang'aka kweli mpaka imefikia wakati tunanuniana. Mimi yangu iko free tu, nikitika kazini ipogo tu mezani, anaweza akaishika na mtoto pia huwa anaichezea tu nikiwa home na kazi zangu ndogo ndgo. Lakini ukitaka siku iharibike, mkwapue simu yake. Hataki, hataki, hapendi hatari kabisa. Sababu ya kufanya hivo hasemi.
Tumeshakaa ndani mwaka wa 4 sasa, tunajuana nje ndani, kushoto na kulia lakini nashangaa na ninaumia kweli anapokuwa mgumu mm kushika simu yake. Mpaka kuna wakati natamani kuipasua au kuizamisha kwenye maji. Sipendagi ujinga mm. Unakataaje nisikague simu yako wakati wewe ni mke wangu tunaishi wote miaka mi4?Unajau nilikoitoa hiyo hela mpaka nikakununulia hiyo simu?
Naumia sana mm hii tabia ya mchumba wangu kufichaficha simu wakati mm ni wake daima, wa kufa na kuzikana na kila kitu namhudumia mm, tena kwa standard nzuri kabisa. Inauma sana, inauma sana. Mpaka najifikiria kuna njema imeshamweka mateka nini? Ina maana haridhiki tu kwangu katika huduma ninazompa mm kweli?
Inauma sana. Kwa kuwa na wewe naamini upo hapa JF, na kama ukisoma huu ujumbe jua kwamba mm sipendi hii tabia, tafadhari nifikirie.