mussa victor
Senior Member
- Jul 12, 2015
- 116
- 162
Leo kwenye shosti talk nimewaletea topic kutoka kwa Lizz David. .Anatuelezea kuhusu kudumu au kutokudumu kwa ndoa ya wanawake waliolala na wanaume wengi. Shuka ujisomee na usiache kuchangia mada 8020forums.
Napenda kufikiri kuwa mwanamke ambaye anaweza kudumu katika ndoa ni yule ambae amejitunza, yule ambae ni bikra, hajawahi kukutana na mwanaume yoyote mpaka siku ya harusi yake hata hivyo wachunguzi wameona kuwa hakuna ubishi katika hilo, hawakani ukweli huu. Wamekuwa wakijiuliza maswali yenye majibu sahihi.
Kizungumkuti hiki kimekuja baada ya wachunguzi na watu wanaoshughulikia maswala ya taasisi ya mafunzo ya ndoa na familia, kuhusu kufanya mapenzi kabla ya ndoa na baada ya ndoa. Wanajiuliza kama kujamiana kabla ya ndoa inaathiri wanandoa, na kuwa na uwezekano mkubwa wa talaka.
Jibu lilikuwa nini? Kujamiana kabla ya ndoa inashawishi talaka wakati mwingine lakini inategemea na sababu zingine. Lakini naona talaka inaletwa na mwenendo, kiwango cha talaka kinashuka kama watu wataoa wanawake bikra na huenda wakawa sawa na wanawake ambao wamejamiana na wanaume wawili tu kabla ya ndoa. Lakini wale ambao wamejamiana na wanaume zaidi ya kumi kabla ya ndoa, kiwango cha talaka ni kikubwa.
Lakini ngoja. Kinachoshangaza ni hiki, mwanamke ambae amejamiiana na wanaume wawili tu kabla ya ndoa huenda wakawa na kiwango kikubwa zaidi cha talaka kuliko wale ambao wamejamiana na wanaume zaidi ya 10.
Kwa kifupi mwanamke anakuwa anafanya kutofautisha mume alie nae na wanaume ambao amejamiana nao kabla ya ndoa. Wachunguzi wa mambo ya ndoa na familia wamegundua kuwa kila mwanamke aliepewa talaka alikuwa ameshatembea na wanaume zaidi ya wawili kabla ya kuingia kwenye ndoa. Na wamegawa katika makundi matatu ya wasichana ambao wanatarajia kuingia kwenye ndoa sasa, hasa kuanzia 2016, 2018, 2020.
Hutashangaa kuwa, wasichana wadogo wengi wanaoolewa kipindi hiki wanaelewa zaidi na wana uzoefu mkubwa wa kujamiana kuliko wale waliopita. Kwanini tabia ya kujamiiana imebadilika sana miaka hii? Majibu mengi kwenye swali hili ni kwamba, wanajihusisha zaidi humo. Wasichana wanafanya mapenzi kwa kuangalia mwonekano wa nje na kuingia ndani ya mahusiano hivyo. Kuangalia sura, mazingira ya mtu.
Inaonyesha kipindi hiki ni kinachoendelea ni wachache sana watakuwa kwenye mahusiano ya ndoa kuliko wale waliozaliwa miaka ya 1970, na wa 1980. Kushuka chini kwa hio imegundulika kuwa mwanamke akiolewa bikra ni ngumu sana kupata talaka. Wengi wa wanawake wanaolewa sasa hivi hawafiki miaka mitano wanapata talaka , ukifika huko wewe ni mmoja wa wale.
Bikra au uliwahi kujamiana na wanaume wawili kabla ya ndoa. Au ni tabia imebadilika kwa Neema ya Mungu umepona kwa hilo.Tukumbuke kuanzia mwaka 2000 talaka zimekuwa ni nyingi mno.Labda ni ktu kisichotegemewa kufikia mtu kujamiana na mtu zaidi ya mmoja kupata talaka, kitu kikubwa cha kushangaza ni kwamba, kinachonekana ni kweli miaka hii. Ijayo, wanawake ambao wamejamiana na zaidi ya wanaume wawili watakuwa na kiwango kikubwa cha talaka.
Mwisho. Inaonekana katika mafunzo haya, hayaonyeshi dhahiri ukweli wake wa kuwa na talaka kwa watu walio katika hatari ipi. Ni maamuzi yako na ni wewe mwenyewe kuamua kama unataka kujitunza mpaka uolewe au unataka wanza ujamiane na wanaume wengine kabla ya ndoa kadri unavyotaka.
Huwezi kujua yajayo na huwezi kujidhibiti kwa hilo. Nani anaejua kitafuata kitu gani baadae, Ishi maisha yako yalio sahihi, fanya utakacho bila woga kwamba nitaachika baadae, huwezi kujua hayo. Ishi maisha ya usalama. Haya mashosti hapa swali kubwa ni kweli mwanamke aliyelala na wanaume wengi na nikisema wengi ni kuanzia wawili na kuendelea basi huyo hatodumu kwenye ndoa.