mchepuko wa mkulu
Member
- Sep 11, 2016
- 31
- 27
ni muda mrefu sana nimekuwa nikifuatilia comment na post zake huyu member anayejiita Mbwa dume
Sio siri nimevutiwa sana natamani kumfahamu kiundani ikiwezekana awe rafiki yangu tu
Tumezoea watu wengi humu kudanganya kuhusu kazi zao wengi hujifanya wana elimu sana na wanabiashara za mamilioni lakini huyu kazi yake tu inatisha(kuuza majeneza)
Lakini amekuwa muwazi napenda sana guy mkweli na muwazi sio wale mnaokimbilia kudanganya eti mnamiliki makampuni kumbe uongo mtupu.
Najua atausoma uzi huu please Mbwa dume njoo pm.
Nahisi tukionana ana kwa ana ntafurahi sana.