Siri ya Wanawake wanao Tafuta wanaume Jf yagundulika

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,655
Asante sana,mm Askari Muoga baada ya kufanya Deep and Hard inveatigations nimekuja kugundua siri zifuatazo kuhusu wanawake wanao tafuta wanaume jf
1:Wa mikoani ivyo wana watafuta wanaume wa Dar ili waje Dar es salaam,mwendokasi
2:Wanafikiri kuwa JF imejaa wasomi wengi maana mtandao wa jf unatumiwa sana na Wasomi kumbe hata sisi tupo
3:Matapeli ni maajabu mtu anayetumia fake name,no picture kutafuta mtu asiye mjua hapa tuwe makini mungipanga appointment bora mkakutane Central polisi au karibu na kituo cha polisi
4;Wavivu na wenye malingo hawa wanawake wanakuwa na malingo mtaani kwao hawana ushirikiano na jamii ivyo wanakosa wachumba
5:Wasongo list au ma Complicator wao ni kukesha wakisoma tu
 
Mtoa mada umevurugwaaaaaa!! Na wewe utakuwa Ni mmoja ya wanaoichukia Love Connect..Mbona Hakuna shida.Jf Ni kama mtaani, popote.Kama ulivyosema Na ' nyie mpo' Yaani Shule imekupita kushoto, Na kweli mawazo yako yapo limited.Hujui unaongea nini.Dunia ya Leo Sio uijuayo..Na usimlazimishe MTU apendane Na MTU wa mtaani pekee kama hakuwapenda?? Mfano umekutana Na MTU mtaani.Hukuwa Unamjua Kama mkakutana mkaombana no.mkaanza mawasiliano yakazaa uhusiano.Ni tofauti gn Na jf?? Mapenzi Ni popote.Kifupi.Rudi Shule Bado hujachelewa.Na Si Kweli kama wanaotafuta jf hawapo social umefanya utafiti wapi.Na nikwambie Mpaka JF wakaanzisha site hiyo ujue wameona mbali Baada ya utafiti.Ebu katembelee Na Afro introduction!! Utajionea.Love connect cha Mtoto.
 
Wote mnaoanzisha mada za hivi mnatafuta wapenzi pia!
Acheni uchokonoko!!! Tusipangiane maisha bana... Kama wewe huwataki kuna wenzako wanasubiri kila siku bandiko liwekwe wakajimwage PM!

mnajifanya kuponda hapa lakini PM mnawafuata!
 
Back
Top Bottom