SHAMAC
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 1,343
- 3,561
Katika reseach yangu ndogo niliyoifanya hapa nchini kwetu nimegundua kati ya ndoa 10 basi 8 hadi 9 ni ndoa maslahi...!!
Ndoa Maslahi ni zile ambazo kuna maslahi nyuma ya pazia yaliowapelekea muwe pamoja lakini si kuridhisha hisia za upendo uliopo kati yenu.. Yumkini maslahi yaweza kua ni pesa, maisha bora, hadhi ya mtu ( status ), Maslahi ya wazazi kampuni n.k., n.k..
Kuna mtu nilikua naongea nae ( binti ) akanambia kuwa wanaume wafupi hawezi hata thubutu kuwaangalia mara mbili,( hawamvutii kiufupi...) Hadi nikajiskia vibaya kwa mnavyowanyanyapaa hawa Eskimos....Lakini huyu si wa kwanza kumskia akisema hivo na kusema kweli sijawahi kumskia mwanamke hata kama yeye nae ni mfupi akisema ana interest na wanaume wafupi.,, Wote wanawakwepa...!!
Sasa swali nnalojiuliza kichwani Je wanaume wafupi hawaoi.? / hawapati wachumba.??
Jibu la swali hili nadhani wote tunalo Wanaoa, wanawachumba wazuri kabisa..! Na wengine yumkini wameoa wanawake warefu zaidi yao..!! Mifano ipo mingi tu., Mzee wa Azam ni mfupi wa kujiridhisha tu lakini ana familia na watoto ingawaje cmjui b mkubwa wake...!!
Sasa maswali yanayozunguka akilini kwangu ni kwamba ....
Je Ndoa / Kupendana / kuchaguana kuna sababu zingine nyingi kando ya hisia ( Feeling) na hizo sababu zaweza kuwa ni MASLAHI..?? Ama ni kitu gani..??
Je kuna sababu zingine kando ya hisia zinazoweza kuwakutanisha watu ambazo sio MASLAHI..??
Na Je kama ndoa nyingi ni MASLAHI kwa nini vifungu vya kanisani /SERIKALINI visibadilishwe vikawa vya KIMASLAHI zaidi...?? Kuliko kufumbana macho..??
Na Je Afrika / Tanzania tunaongozwa sana na Maslahi binafsi kando bila kutanguliza Hisia zetu mbele..??
Toa ushuhuda wako.. Ni kitu gan kilichowaleta pamoja nyinyi WANANDOA / WAPENZI , Je ni HISIA ama ni kitu kingine...?? ( MASLAHI KWANZA FEELING BAADAE ZITAKUJA TU)....!!
Naanza kutoa ushuhuda wangu kwamba kiukweli wote nliokua na hisia nao hakuna hata mmoja kati ya hao nliyefunga nae ndoa., Nimeoa mtu ambaye sikua kabisa na hisia nae kwa sababu ya Maslahi binafsi ( mimi niliyokua nayo ). Nlimuona mpole, mwenye adabu, na alikua na bright future yani hakujibagua kwa sababu yeye ni mwanamke., Aliweza kushindana na wanaume ktk kitu chochote na akawashinda vibaya mno...! ! And i said "SHE MUST BE AN IMPORTANT PERSON IN MY LIFE..." Although she was not cute / beautiful...!! And she is my wife now the so called "WIFE MATTERIAL".
Anyway naamini mnayo majibu mazuri zaidi.
Karibuni tubadilishane experience wanajamvi....!!!