wamkodowenye
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 261
- 290
Hili swala nimenitokea mara kadhaa pia na kulisikia kwa marafiki zangu sana.. Unapokua na dem siyo mke lakini muelewe hivyo.. Unaweza mwomba tuonane akakuambia Nauli hana ukatuma anakuja mnakula mnakunywa tena anaagiza vitu vya bei mnachukua room mnachungana tena kidume unakaza usidharaulike isitoshe hapo huwa wanasikia raha zaidi.. Ila mkimaliza mkioga saa ya kuondoka atakua anakusikilizia unamtoa sh ngp? Usipomtoa utaona macho yamemtoka kama fundi saa.. Hivi nyie wanawake hiyo kitu yenu mmeichukulia kama kitega uchumi? Bc tembeeni na mashine za kutolea risiti basi...mnauzi sana raha tupate wote na mnapata nyie raha zaidi bado na ela nitoe?