moses john choyo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2015
- 214
- 150
Habar wana jf ? .Mim ni mwanafunz wa chuo kikuu hapa dar .mwaka Jana nilikutana na bint ambaye anaishi mazingira karib na nilipopanga nikamwaproch kimatani akanikubalia.tukaendelea na mahusiano ila ilipofika mwez wa tano mwaka Jana yule bint akaanza kuja usk kwang tofaut na zaman alipokuwa akija jion baada ya Mim kutoka chuon .kutokana na ubize wa masomo ya afya chuon Mim nilikuwa bize sana sikuwaza nn nia yake, alikuja kama siku tatu mfululizo usik na kurud asbuh kwao ila Siku ya nne akaniambia kama ninataka aendelee kuja Usk nikajitambulishe kwao Mim nikachukulia poa nkamwambia ntajitambulisha mwez wa kumi na moja ,mwanzo nilichukulia kujitambulisha ni simple yaan wanifaham jina na sura tu ila ilipokaribia mwez wa kumi na moja akaniambia nikitaka kwenda niende na barua ya uchumba ,daa kiukweli nilichanganyikiwa af istoshe hom kwao walianza kunifaham.bas nikaamua kuextend muda nikamwambia labda mwaka huu ili achoke tu kunisubr lakin cha kushangaza hakuchoka na mapenz yakanoga sana ila baadae nilistuka coz nilijikuta nikimgharamikia sana mpaka nikahis kuna kitu ,wiki kadhaa baadae nikinapita njian nikakutana na mama wa makamo anayeish karib na yule bint ila hakujua kuwa ninamahusiano na yule bint akaanza kuniasa sana juu ya mabint wa mtaa huu kuwa weng wanatumia dawa za mapenz.ndipo akanieleza kuhus familia anapoish yule bint ni moja ya watumiaj bas kutokana na ndoto za majin nilizokuwa nimeanza kuota nikahis kuna ukweli nikaenda kuombewa ni kweli nilipandisha kwa mchungaj na shehe hali ikatulia nikamuacha yule bint baada ya kupona ila baada ya wiki tukarudiana tena.wiki hii ameniambia anaujauzito Wang ila Mim kwa hiyo anataka niende nyumban kwao .bado namzungusha ila siwez kumuoa nitazid kumzungusha .sasa nyumban kwao wameniita naomben ushaur niende au nisiende na nifanye nn?