Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Jamii ya watanzania tumekuwa na tabia za kizungu kuna biashara imezuka mtu anakuja kwako ama mnaenda guest ama hotel ama kuna saloon special za kukufanyia massage kwa bei ya 40,000/= up to 80,000/=. Inasemekana wakati wa kufanya massage kuna happy ending(sex) na haulipii chochote it is free sasa huu si niukahaba kimamboleo?
Hebu mnieleweshe wajuaji.
Hebu mnieleweshe wajuaji.