Tozii Nyambii
Senior Member
- Apr 1, 2017
- 144
- 77
Mimi Nina hali moja hivi yaani Nina uwezo Wa kumsoma MTU mda mfupi saana yaani nikikutana nae tuu au nikishikana nae mkono nikimwangalia namjua yupoje na pia na nia yake ni IPI kwangu na sijawahi kukosea
Hiii hali imenifanya mpka sasa sijawahi kukataliwa na binti aina yeyote ile wala sijawahi kulizwa wala kusemwa vibaya kwa sababu
MTU mbaya namgundua mapema sana kama kuna binti ananipenda natambua hilo mapema sana na nkumuambia tuu ukweli kua nampenda hakatai anakubali ,pia MTU ambae ana nia mbaya na mimi natambua mwenye nia mzuri natambua mapema mnoo mpka najiuliza Mimi nipoje
Eti wataalamu watu Wa aina Yangu wanaitwaje?