Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,316
- 40,963
Uuuh show me.... show me..... show me..... uavyo-dance oooh.....
Raha sana asikwambie mtu yuuhuuuu.
Woow....... I love the songs.... Davido amekonga nyoyo yangu hasa akipaza sauti hapo......
Every when I make a deal is done.... also serve the purpose (control te beats) while making movements in bedroom....... if at all you get me.
Oooh wacha nifurahi tuu this is how I live, I am... and I love it. Now I can go back to J'burg...... yuuuhuuuuu.
Nimejitahidi kutokuelezea nini kimenitokea ila naona kuna ambao hawataelewa.... ni hivi Kasie anafuraha mnoo baada ya ishu fulani aliyokuwa anaifanyia kazi tangu jana kufanikiwa na hizo nyimbo zinasindikiza furaha yangu. Na sasa naanza masafa ya kurudi kwa madiba nikiwa na furaha tele..... yuuhuuuuu.
Nawatakia jumapili njema.