Eddy Love
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 13,654
- 8,553
Wanaume wengi tunaambiwa tuna upungufu wa
nguvu za kiume lakini chanzo chake utasikia sijui
mazoezi, mara magonjwa ila ukweli ni kuwa
chanzo cha upungufu wa nguvu za kiume ni
wanawake tulio nao hasa wa karne hii.Unakuta ndio kwanza mmeanza kwich
kwich round ya kwanza tu ukimaliza anaanza
kuleta story za vizinga na ukijiangalia hela huna
hiyo nguvu ya kuendelea na round ya pili utaitoa
wapi wakati ashakuvuruga.Wengine wakati
mnafanya kwich kwich ushirikiano hawana kila
kitu mwanaume ndio ahangaike mwisho wa siku
naye anaona ngoja nimalize mambo fasta tu
nipumzike zangu.Sasa kibaya zaidi unaweza
ukakuta siku umetoka kazini umechoka ila ukawa
unataka kushtua kidogo hapo ndio shida mana
utakuwa unafanya kichovu chovu sasa badala
akupe neno la hamasa utashangaa ndio kwanza
anakuuliza "khee yani hapo ndio umemaliza si
bora ungesema sasa umenichafua tu" badala
angekuambia daah baby mwenzio bado nataka
bwana tena japo akudanganye akuambie halafu
ilikuwa tamu baby nipe tena kidogo yani anaweza
kukuhamasisha ukajikuta umepiga show kama
uko kwenye fainali ya uefa ila kama ndio mtu
anakuambia bora ungesema nisivue nguo zangu
ukanichafua hiyo hamu ya kuendelea utaitoa
wapi.
MWISHO: JAMANI WANAWAKE KWANZA MUANGALIE
MUDA WA KUPIGA VIZINGA, MUWE NA MANENO
YA HAMASA, PIA WENGINE MUJIONGEZE
KIDOGO UWANJANI TUKO WOTE WACHEZAJI
LAKINI UNAMUACHIA MWENZIO ACHEZE
MWENYEWE UNAJIFANYA WEWE KIPA KUSUBIRI
TU KUDAKA NDIO NINI TUSAIDIANE NA KWENYE
KUPIGA CHENGA PIA