Habari Zenu.
Nimegundua kwamba uwezo wa mwanaume kufikiri bila ya mwanamke ni finyu.
Ukiangalia ma senior bachelor wa mjni hawanaga lolote zaidi ya nguo zake za kuvaa na kigari Chake basi. ela yote anamalizia bar na supu za asubuhi. utakuta kijana ni graduate Ana age between 28 hadi 30 hawazi lolote kuhusu maisha eti bado anajiona mtoto.
Wito wangu ni vijana wa mjini muamke, ukishafika miaka 27 wewe ni Mtu Mzima, Anza kujipanga kwa maisha yako. vijana wengi wasiooa mpaka miaka 35 maisha yao ni hopeless hawanaga kitu....ila wale waliopata maendeleo mapema maisha yao yanakuaga na maendeleo mapema.
mfano. kuna Dk mmoja ambae ni DG wa sehemu flani hajaoa na ana miaka karibu 40. maisha yake ni hopeless anaishi nyumba ya kupanga na hana kitu.wala kiwanja japo ameshika nyadhifa mbalimbali nchini.
Nna rafiki Ana 29 na bado anakaa kwao
nna kama Ana 30yrs hajaoa haina sababu ya kukaa nyumba kubwa mpaka leo anaishi chumba kimoja kigeto Geto na mifano mingine kibao.
Ushauri
Wanaume jifunzeni kuoa haraka akili ya mwanamke ina maarifa makubwa yatakayokufanya uendelee haraka. ukijifanya muchknow utaishia ivoivo.
Behind every successfully man there is a women.