Nina rafiki wa dhati kabisa moyoni mwangu kupitia humu JamiiForums

Maserati

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
11,604
20,079
Habari zenu wakuu.
Nina rafiki wa dhati kabisa moyoni mwangu kupitia humu humu JF.
She is a user of jf,kitambo kidogo. Nakumbuka pishana kiswahili somewhere (sikumbuki ni Uzi gani) nilimjibu shit sana wala hakunijibu vibaya,nadhani kwa sababu ya tabia yake ni mpole kiasi sio sana wa kuchukiza.

At that time alikuwa na username nyingine sio hii ya sasa.
Alinifuata pm,akaniambia samahani nadhani ile comment yangu Ndio imekufanya ukanijbu vibaya. Of coz sijapenda majibu yako but I'm so sorry if I spoil your mood.bye
Nikaona maajabu ya jf,umjibu mtu mavi halafu aje kukuomba msamaha pm.
Nikarudi kuzisoma zile comment nikaona mmh,kweli Hapa nime halisha vya kutosha. Nikazi edit kupunguza kama sio kutoa maneno makali yote. Then nikamwambia "no,I'm the one to apologize,I'm sorry" for the first time in jf mwaka 2015.

Then,tukaanza kufahamiana wakati Huo nishawafahamu watu mbalimbali pacha wangu charming lady na kina Dinazarde kiwatengu Excel tunapiga story kawaida tu. So na yeye nikawa napiga nae story,nikafahamu yupo dar of which na Mimi nilikuwa dar.
She asked tuonane nikaogopa,nikasema asijekuwa sio msichana kama alivyosema,au asije kuwa kanipangia njama nipewe kichapo,nikasita sana lakini baadae nikakubali.

Tukapanga siku tukaonana,she is beautiful this friend of mine. Since then,we become friends. Lakini katika vitu nilivyovigundua ni alikuwa hapendi jf,kwa sababu ya majibu ya shit anayopewa anavyoona watu wakichangia na kupeana shit za kuzikana kabisa,so she is not a type of troubles.
Ilikuwa Mara chache sana Kukuta ame comment hajawahi kuanzisha Uzi Hata siku moja kwa ile ID.
Akaenda porini huko (don't claim about hii info) alivyorudi Hata hakumbuki password ya jf,na akawa hatakagi tena kuingia yeye mtu wa Instagram tu. Ikabidi nianze kumshawishi arudi jf Ndio akafungua tena account yake hii anayoitumia sasa as relato.


relato ,we made friendship in a way sitaweza kuisahau. U such a good friend to me,wewe ni mkarimu mno,duh!thru you I can't under estimate social networks friendship anymore (lakini sidhani kama nitampata mwingine kama wewe na sasa umeniharibu na hivo vikatuni sijui vi emoji).

mama angu hakuamini eti nampeleka rafiki nilie mtoa mtandaoni kwetu,akaniambia wewe utaniletea jini Mimi Hapa. But after while Hata mama alimpenda sana relato wangu, ni mkarimu,mpole, mcheshi, mwaminifu sana and mshauri mzuri sana. Same thing nilivyokwenda kwao mama yake alinipokea vizuri Sana. we are half of undugu now,kwa sababu she is there for me and I'm there for her kwenye shida na raha. Nakumbuka she dedicate mi the song Count on me ya Bruno mars ni vile wasichana tuko too emotion najisikiaga kulia nikisika huu wimbo.

She is a good girl kwangu,we become best friends for life(Bff). Thru you I value the word friendship

Namshukuru Mungu nimepata rafiki mwema thru the way sikuitegemea,eti Jamii forum funny.
Nakapenda Sana Ka rafiki kangu Cc relato
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom