Binti mrembo mahari sh 60,000 tu.

wiseboy.

JF-Expert Member
Aug 11, 2014
2,932
4,542
Hili ni tukio la kweli kabisa, rafiki yangu mkubwa Patrick (siyo jina lake halisi) alimpenda dada mmoja mrembo kweli kweli, wakaanza mapenzi kabla ya ndoa.
Na kisha mahari ikafuata ,wale wazee waliotumwa kupeleka mahari wakasema wameambiwa muoaji atoe sh 60,000 tu.
Wote tulishangaa sana, hatukujua Kwa nini iwe hivyo, mahari ikatoka ndoa ikafungwa.
Baada ya wiki moja jamaa kambamba Mke wake live akiliwa, akaenda ukweni kudai mahari,baba mkwe wake akamjibu.
"Nilijua tu huwezi kuishi na mwanangu, ndo maana nilitaka mahari ya sh 60,000 tu ".
 
Aiseeeeeh!

Naona kama sijaelewa ila inabidi nielewe tu. Duuuuuuh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom