Utamfanya nini utakayemkuta anazini na mwenza wako?

kama nikikuta washamaliza nitawaambia waanze upya na mimi nijifunze staili mpya, kama nikiwakuta bado hawajamaliza nitajificha nile chabo.
 
Vita vya kutembea na mke wa mtu havijawahi kumwacha mtu salama..

Either kutatuliwa marinda au kutangulia mbele za haki..!!

Eee Hilo la kwanza linaloanza na Either ndilo bora (Kumpumulia mtu kisogoni tu)
 
Back
Top Bottom