Majina ya wanawake wawapo kwenye ndoa

yuga

JF-Expert Member
Dec 2, 2016
375
264
hbr wana jf. hivi ni jina gani la pili mwanamke atumie akishaolewa....??? la mme wake au la baba yake. naomba tujadili hili kwa leo. mfano mwanamke anaitwa Rehema na babake anaitwa Alex. kabla hajaolewa ataitwa rehema alex. then kaolewa badae na mwanaume anaitwa joseph. je inapaswa aendelee kuitwa Rehema alex au aitwe Rehema joseph....?
 
Kwani vyeti vinasomekaje? We mwite Mama Neema basi,
ashum umeoa ambae ameishia 4m4 then hana ata cheti ... then ndo unamtambulisha ktk umati wa watu utasema jina gan rehma alex or rhma joseph
 
Mimi binafsi ninaona ni sahihi mwanamke kutumia jina la baba yake, yale majina aliyokuwa akitumia awali ndio aendelee kuyatumia.

Mambo ya kutumia majina ya mme aliyemuoa ni umwinyi tu ambao wanaume tunao.

Ukiitwa Mam Alex au Mrs Alex au kama mmepata mtoto basi ukiitwa Mama flani inatosha kabisa.
 
mi ninavojua hata kipnd kile nasoma la 3& 4 ikiwa imeandikwa mrs alex mme ndo anaitwa alex na sio babake.
 
hbr wana jf. hivi ni jina gani la pili mwanamke atumie akishaolewa....??? la mme wake au la baba yake. naomba tujadili hili kwa leo. mfano mwanamke anaitwa Rehema na babake anaitwa Alex. kabla hajaolewa ataitwa rehema alex. then kaolewa badae na mwanaume anaitwa joseph. je inapaswa aendelee kuitwa Rehema alex au aitwe Rehema joseph....?
Kuna vitu vingine havina maana yoyote.
Hakuna haja ya kubadilisha jina.
 
hbr wana jf. hivi ni jina gani la pili mwanamke atumie akishaolewa....??? la mme wake au la baba yake. naomba tujadili hili kwa leo. mfano mwanamke anaitwa Rehema na babake anaitwa Alex. kabla hajaolewa ataitwa rehema alex. then kaolewa badae na mwanaume anaitwa joseph. je inapaswa aendelee kuitwa Rehema alex au aitwe Rehema joseph....?
Huyu ni Rehema Alex (Mrs Joseph.)
 
The immediate former first lady anaitwa Salma Kikwete... Jina la baba yake hata halitajwagi!
 
Rehema alex kwenye vyeti vya serikali(elimu, kazi)
Rehema joseph wanajamii wafanyakazi ndugu na marafiki
 
Back
Top Bottom