Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,215
- 3,682
katika pitapita zangu nikiwa katika bar flani hivi nilimsikia mdada mmoja akizungumza na mwenzie
katika mazungumzo yule mdada alikuwa akimuelezea kuwa kuwa anawachukia sana wanaume"
Basi yule mwenzie alipomuuliza kwa sababu gani" yeye alimjibu basi tuu yeye hapendi wanaume bila sababu yoyote""
Leo hii ikanibidi niulize humu jf hivi inakuwaje mdada anatokea kuwachukia wanaume bila sababu yaani kila akiwaona huwa anasikia tuu ana hasira, hasira,