tusionacho
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 274
- 514
Hii inatokea pale mwanaume anafanya mapenzi mshindo mmoja tu na kufanya ile nguvu ya mapenzi kubaki mwilini, yaani ni hivi unakuta mwanaume katoka kufanya mapenzi lakini baada ya muda kupita kidogo anapata hamu kali zaidi kuliko awali mfano dereva anatoka dar anafika chalinze sababu ya uchovu anafanya mshindo 1 anafika mikumi anafanya mshindo 1 anafika iringa mjini mafinga na nk.
Hii inasababishwa na: Mwanamke kushindwa kumsaidia mwanaume aanzishe raundi nyingine upungufu wa nguvu za kiume uchovu kukosa mda wa kutosha
Hii inasababishwa na: Mwanamke kushindwa kumsaidia mwanaume aanzishe raundi nyingine upungufu wa nguvu za kiume uchovu kukosa mda wa kutosha