Ni kweli asilimia kubwa ya wanaume ni vichaa kwenye mapenzi?

sliding

Member
Mar 3, 2017
82
57
Kuna jamaa mmoja kanipa mfano mmoja wa wanaume na wanawake kuwa pamoja na umapepe wa wanawake kujidhalilisha kwenye kumbi za starehe kwa kuvaa nusu uchi lakini kamwe huwezi kuta mwanamke kichaa kuzaa na mwanaume kichaa. Lakini mwanaume mwenye akili timamu anazaa na mwanamke mwehu. Hii ikoje wadau?
 
Back
Top Bottom