Tuache kulialia kila wakati juu ya mapenzi, tufanye shughuli zingine

Mkomavu

JF-Expert Member
Jan 25, 2016
9,952
2,000
ndugu zangu tumekuwa tukilalamika na wengine kulialia juu ya mapenzi je hakuna kingine cha kufanya?

yaache mapenzi yaende zake tafuta jambo la kufanya na maisha yatasonga mbele.

tunalia mara moja tu ila ukilia lia kila mahusiano mapya huna budi kujichunguza.
Hii hatua ya kulia kila mtu lazima apitie ila ikifikia kipindi unakuwa sugu hakuna tena kulia.Tena inakera kumpenda asiyejitambua ila maisha lazima yasonge mbele iwe kwa kulia au kutolia
 
Mehek

JF-Expert Member
Feb 26, 2017
7,462
2,000
Unakaa chini kbsa kila Siku unalia??? Loo huyo kakosa kazi za kufanya niliwahi kulia Mara mojaa tu na muomba mungu isijirudie
 
Me too

JF-Expert Member
Feb 9, 2015
3,659
2,000
Unakaa chini kbsa kila Siku unalia??? Loo huyo kakosa kazi za kufanya niliwahi kulia Mara mojaa tu na muomba mungu isijirudie
wapo wanao lialia mwenzio keshasonga mbele we unabaki kuongeza idadi ya lesso kufuta machozi
 
Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
16,601
2,000
ndugu zangu tumekuwa tukilalamika na wengine kulialia juu ya mapenzi je hakuna kingine cha kufanya?

yaache mapenzi yaende zake tafuta jambo la kufanya na maisha yatasonga mbele.

tunalia mara moja tu ila ukilia lia kila mahusiano mapya huna budi kujichunguza.
Kwanza kwanini mtu ulie?

Tuanzie hapo, nini maana na sababu ya kulia?
 
Me too

JF-Expert Member
Feb 9, 2015
3,659
2,000
Mazoea yapi?
hasa kwa mara ya kwanza lazima ulie coz akili yote huzamaga humo huwqzi kipya ni mwendo wa utegemezi kuanzia kiakili hadi uchumi.

sasa akitoweka unapata tabu hapo ndio kulia kunatokea
ambapo funzo hulipata kuwa huyo mtu hukuzaliwa nae yapasa ujikomaze kiakili na mengineyo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom