kwenzi
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 669
- 666
Nimetoka Safar nimerud na tablet pamoja na sendo zikiwa ni zawadi zake na zipo kwenye mabox yake.Amepokea vzur tu Ile mie kuenda chooni tu kurudi ameshafungua kila kitu dah! Ameshapoteza maana ya surprise... Hapa poz limeniisha najiuliza huku nikiwa na hasira sijui nimpe au nisimpe...
Ujumbe
Acheni kimbelembele mpaka upewe atiii..."mpemba voice"
Ujumbe
Acheni kimbelembele mpaka upewe atiii..."mpemba voice"