Ramea
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 2,146
- 4,071
Hii tabia inakera sana, suala la ndoa na harusi umelipanga mwenyewe, lakini kila muda simu kriii!! Kriiii! Kukumbushia mchango, kwani umelazimishwa na nani?
Hii tabia Mimi binafsi inaniudhi sana, nimewavumilia rafiki zangu wengi sana sasa nimechoka. Mbona kwenye 6×6 hamnipigii simu na Mimi nitoe mchango wangu?? Siyo vibaya mtu ukitoa card ya mchango ukavuta subira! Lakini simu kama hela uliiweka haki ya Mungu sitoi hata mia mbovu. Maarusi watarajiwa badilikeni...Kigezo cha oooh! Tumesoma wote, tumekaa room moja hostel siyo sababu ya kusumbuana kana kwamba kukuchangia lipo kwenye katiba ya nchi.