Hapo sasa?,mbona ukaniacha solemba?,nikaingia chaka pale Colobus,warembo wakanifuta pesa zote,naamka asubuhi najikuta sina hata pesa ya supu.angekukubalia jee ungekataa???
Uliombaje? Kama uliomba kibabe hili lililokukuta ilibidi ulitarajie.Haikuwa dhamira yangu kufanya hivyo, nilitaka kujua anamsimamo wa namna gani.Kanimwaga jamani bado nampenda sana lakini ndo hanielewi.hadi marafiki zake nimemtumia lakini anawachomolea kwa matusi.
Wadau naombeni ushauri nifanye nini ili arudi?
hakuna kufungwa sema mie siyo mfirajibila kibali?si utafungwa
Pumbavu:Haikuwa dhamira yangu kufanya hivyo, nilitaka kujua anamsimamo wa namna gani.Kanimwaga jamani bado nampenda sana lakini ndo hanielewi.hadi marafiki zake nimemtumia lakini anawachomolea kwa matusi.
Wadau naombeni ushauri nifanye nini ili arudi?