directa
Senior Member
- Jan 27, 2017
- 102
- 150
kujaribu kutambua msichana anajileta kwako, ni biashara yenye risk kubwa sana. ishara zinaweza kuwa zinaeleweka kabisa lakini ukizitafsiri ndivyosivyo, ni janga. lakini hata mwanamke akijaribu kwa nguvu zake zote mwanaume amuelewe nini anamaanisha/au nini anataka, baadi ya wanaume hata hatuelewi. Tazama hizi story na uone namaanisha nini.
#1
wakati nipo high school niliingia darasani siku moja na msichana mkaliii akanifwata darasani akasema "unajua mimi na Muddy tumeshaachana"
nika sema "duh poleni sana"
kisha nikaspend siku nzima na usiku, kuwaza. kwanini aniambie mimi? kwanini aniambie? kwanini alikuwa anatabasamu wakati ananiambia?
mara ya pili nilipo kutana naye, nikamuomba tutoke weekend. akakubali. tukawe wapenzi tokea siku hiyo, na sasa hivi ni familia.
#2
girl mmoja alinibusu chumbani kwake, kwenye Bday yake, ilikuwa night kali. "embu ondoka tusije tukafanya kitu hapa," alininong'oneza. mimi nikaitikia aliafu nikasepa.
nipe story yakooooo