Nkolandoto
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 4,102
- 4,024
Habari za jioni wanajamvi.
Nimekuwa nikipata wakati mgumu na natumia udikteta tu
Sijui we mwenzangu ikikutokea huwa unafanyaje
Inatokea sana ninapokuwa ktk matembezi na mwanamke wauza vitu huwa wanapandisha bei vitu vyao hopping kuwa mwanamke aking'ang'ana lzm mzee zikutoke na tena watambembeleza mno ili tu ashawishike anunue
Sasa Mimi huwa nakaa mbali wala simwangalii kwa kuwa akikipenda lzm aje kwangu ,mi namuuliza tu bei nkiona ya juu namwambia twende hamna kitu hapa naanza safari lzm anifuate tu
Sijui mwenzangu ikikutokea huwa unafanyaje
Tusaidiane ujuzi