Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,441
Salaam wakuu
Mada tajwa yahusika
Tangu Jana nipo Bar nimezunguka Bar nyingi Sana hapa mjini Mwanza yani nahama bar hii naingia hii hasa zile High class kama Villa,DV8, Gold crest,na nyingine nyingi
Sasa nlichokigundua Bar nyingi hapa nlipo na Tanzania mzima zina wanawake wazuri wanaotoa huduma Kwa wateja but najiuliza Kwa uzuri wao Kwa nini wasiolewe wakawekwa ndani badala yake wanaishia kwenye maisha ya kuchezewa makalio,kutukanwa na kudharauliwa?
Cha ajabu wale wanawake tunaowaona wabaya ndo tunawaoa na kuwaweka ndani na kufanya nao maisha
Ukiangalia matajiri wengi,wanasiasa ,wasomi,Wafanyabiashara wakubwa wameoa wanawake ambao kimtazamo ni wa kawaida Sana
Je hawa wanawake wa bar ambao wanasifa zote nzuri za kimaumbile ambazo wanaume tunazitaka Kwa nini hawaolewi??