NAOMBA WENYEJI WA DODOMA MNIPOKEE

mnadhimu mkuu wa jf

JF-Expert Member
Mar 19, 2017
759
285
Habari zenu wakuu bila shaka mu wazima wa afya na mlio wagonjwa poleni sana, mm nipo njiani naelekea dodoma hivyo naomba wana Jf wenzangu si vibaya tukionana na kubadilishana mawazo pia kuelezana sehemu nzuri za kutembelea na sehemu mbaya ambazo sipaswi kutembelea Asanteni......
 
Msalimie Job Dugai aseeh. Mwambie anatuachaje sasa kwenye makinikia
 
Habari zenu wakuu bila shaka mu wazima wa afya na mlio wagonjwa poleni sana, mm nipo njiani naelekea dodoma hivyo naomba wana Jf wenzangu si vibaya tukionana na kubadilishana mawazo pia kuelezana sehemu nzuri za kutembelea na sehemu mbaya ambazo sipaswi kutembelea Asanteni......
Sehemu nzuri nenda kanisani/msikitini: Sehemu mbaya Usiende kwenye madanguro wala club wala bar
 
Mpe salamu zetu mheshimiwa BASHE mwambie kuna nafasi yake chadema yamsubiri

ONLY GOD CAN
 
Sehemu mbaya ni Kongwa. Kule mbunge hana uwezo wa kujenga hoja. Anatumia bakora!
 
Habari zenu wakuu bila shaka mu wazima wa afya na mlio wagonjwa poleni sana, mm nipo njiani naelekea dodoma hivyo naomba wana Jf wenzangu si vibaya tukionana na kubadilishana mawazo pia kuelezana sehemu nzuri za kutembelea na sehemu mbaya ambazo sipaswi kutembelea Asanteni......
umekuja na shillingi ngapi ya kutumia
 
Back
Top Bottom