Hakuna formula yoote yanaweza enda pamoja au vikawa kimoja kimojaWadau nalileta kwenu hili, hivi ni kweli haya mambo mamiwili huwa hayaendi pamoja?
Yani kipindi unapesa huwezi kupata mapenzi ya kweli na penzi la kweli unalipata pale unapokuwa huna pesa.