Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Inavyotajwatajwa japo inaweza kuwa sio kweli eti watanzania hawana furaha. Kwa uzoefu wangu haitakaa itokee mwanasiasa akaahidi kuleta furaha nchini kwani Furaha ni mchanganyiko wa mambo mengi...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Eti unakuta mwanaume anakuja na kuanza mahusiano kwa kukuuliza, "eti dada unaboyfrnd?" Hivi wanaume hamjui kudeal na akili za wanawake inabidii uende unda urafiki show that you care ntoe outing...
16 Reactions
45 Replies
4K Views
Habari za mchana wakuu.. Naombeni msaada katika hili swala, japo sipendi sana kuanika Maisha yangu katika mitandao lakini kwa hili nimekwama kidogo nahisi nahitaji busara za watu wengine tofauti...
2 Reactions
59 Replies
5K Views
Nakumbuka ilikua asubuhi siku ambayo niligundua kwamba kuna mdada mmoja kaumizwa na mapenz na kiplay boy chake nlimwonea huruma ni zamani kidogo nlimwonea huruma masomo yake how will she study ...
6 Reactions
177 Replies
14K Views
Basi mkono wako au mguu wako ukikukosesha, ukate ukautupe mbali, ni afadhali kuingia katika uzima hali umepungukiwa mkono au miguu miwili kuliko kuwa na mikono miwili au miguu miwili nakutupwa...
1 Reactions
60 Replies
4K Views
UHURU NA KUJIAMINI NI WATOTO MAPACHA Wewe upo huru, yaani wewe ni mtu huru. Hata hivyo, ili uweze kuuhisi huo uhuru wako inabidi kwanza ujiamini. Unahitaji kuwa huru, unahisi haupo huru. Hata...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini, wakuu kuna mtoto nimemzia kweli nataka kuwa nae ila tumezoeana sana nifanye nimpate, nahitaji ushauri *Matusi sio mazuri tusaidiane ili mwenzenu nipate jiko*
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Tunatofautiana tabia hulka mitazamo na maono...kuna watu ambao ni INTROVERT(Wasiri) na EXTROVERT(wafungukaji)hawa hawakai na jambo rohoni huwa hawarembi Nikwambie kitu rafiki funguka kwa mtu...
74 Reactions
231 Replies
18K Views
Habari wanaJF, Mimi ni mwanamke 23yrs nimeolewa na nina mtoto mmoja.. Jamani naombeni msaada wenu jinsi ya kufanya mapenzi kumridhisha mume wangu. Na je kuzaa kunafanya chini kupanuka?
4 Reactions
255 Replies
116K Views
Wakuu heshima kwenu wakuu wangu. Nimekua najiulizaga sana eti tunasema nyeti zetu ni sehemu za siri hivi ni za siri kweli? Huyo aliyeziita hili jina alikuwa na maana gani hapa, hebu tisaidiane...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
kama kuna mwenye vigezo tafadhali husika na Pm, mana naona umri wangu unaelekea saa 9.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau kuna katabia flani kamezuka kutoka kwa wanawake watu wazima wenye umri mkubwa tu na wengine unaweza kuona wanakuzidi au mnalingana. Hivi hua lengo lenu ni lipi unakutana na mimi...
0 Reactions
52 Replies
6K Views
Nilirudi nyumbani Disemba nikaa na mzee kupiga stori mbili tatu. Nilipata stori ya kweli kabisa nilishangaa sana nikaona leo niilete JF nijue huku kwenu vipi. Iko hivi; Watu waliozaliwa 1960...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Yako mambo ambayo ni muhimu kukumbuka katika suala zima la kutoa na kupokea baina ya mume na mke katika ndoa. Mwanaume anapoonyesha kutaka au kuhitaji kitu kutoka kwa mwanamke, mwanamke huhamaki...
5 Reactions
16 Replies
4K Views
Binadamu Mungu anawaona. Mlipokuwa wadogo mtu akikuita mchumba unanuna unakasirika. Ukiona wazazi wanakiss unaziba macho na mikono. Sasa hivi ushakuwa mtu mzima; Ukiona watu wanakiss unatamani...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Tusifichane tuwe wakweli tu ndugu hivi kweli kuna dakika kwenye kufanya mapenzi? Maana vijana siku hizi utawasikia tu mimi bwana bao la kwanza napiga dakika 30.Mwingine utasikia mimi 45, mwingine...
3 Reactions
13 Replies
5K Views
Kwa kawaida mnapokua kwenye ulimwengu wa kupeana raha za dunia na mwandani wako inapendeza zaidi pale mnapokua mnabadilisha mikao tofauti tofauti ili kunogesha mchezo. Tatizo linakuja pale ambapo...
3 Reactions
68 Replies
8K Views
Baada ya mazoea ya wiki kadhaa tu nikamsikia akiniambia "Babe sina salio, naomba nitumie Tsh 25000 nijiunge na kifurushi cha mwezi". Nikamwambia poa. Siku chache baadae nikamsikia, "Nimepanga...
48 Reactions
166 Replies
10K Views
Nimekuwa nikitafakari kwanini nyakati hizi mwanamke asiye na inye, wezele, vodo, miuno ya kuzunguka, hawapendi kupata vijana wa kuwakata maji? Je kwa ile miuno kunanini ambacho ni cha thamani...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Salaam; Nilikuwa na mahusiano na dada mmoja kuanzia 2013 tuliendea vema sana lakini 2016 mambo yalianza kuelekea vibaya niseme ukweli nilikuwa bize sana sometime nikawa siongei sana na simu ni msg...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Back
Top Bottom