Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

A man wanted to marry, but he didn't know whom to marry. So he prayed to God that God should open his eyes or should reveal to him whom to marry. After the prayer, God showed him a poor blind...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Nipo mbele yenu wana jukwaa wenzangu nimeoa, na Niko kwenye ndoa kwa muda wa miaka mitatu sasa. Tatizo langu ni kwamba nimewahi kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na binti mmoja kwa miaka miwili...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Hawa viumbe wa ajabu kweli yaani kanifumania live, nimemuomba msamaha nikapiga na magoti eti amenisamehe; mara ya pili hii. Hivi mna mioyo gani nyie viumbe? Huwa mnatusamehe kweli au mnatuzuga?
2 Reactions
60 Replies
4K Views
Wakazi wenzangu wa Dar mnajua hali ya hewa ya jiji ni joto sana. Lakini hata vyumba vya kupanga hasa vyoo na bafu za kushare. Sasa mwenzangu anataka tufanye mapenzi usiku. Nashindwa kwasababu...
2 Reactions
85 Replies
8K Views
Hello! Naitwa Mary ni binti wa miaka 28 na ni mkristo, nimemaliza chuo mwaka jana kozi ya laboratory science and technology lakini bado sijapata ajira. Nilidumu kwenye mahusiano na mwanaume...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Hali zenu jukwaani, Mada inajidadavua hapo juu. Hapa mtaani nilipo nina wasichana wawili japo wao hawajuani.Tatizo ni kuwa ratiba zao za kufanya mapenzi na mimi zimekuwa zikiingiliana. Lengo...
3 Reactions
69 Replies
6K Views
Habari zenu WanaMMU. Natumaini mu wazima wa Afya njema na mnaendelea vyema na utafutaji wa mkate wa kila siku. Leo nimekuja hapa kwenu nikihitaji ushauri kwa tatizo linalonikabili. Ieleweke...
1 Reactions
75 Replies
8K Views
MASSAGE katika saloon ni mtindo wa kusugusugua mwili kwa kuupaka kwanza na dawa maalumu ili kuondoa uchafu na kuufanya mwili uwe safi, pale pale MASK nayo hupakwa usoni kwa lengo la kuinadhifisha...
3 Reactions
539 Replies
87K Views
Habari za mchana wana Jukwaa,Kuna kitu kinanichanganya kuhusu wanawake na Kauli yao NITAKUPA CHOCHOTE UNACHOTAKA...coz Kuna siku nimeambiwa hivyo,nkajishaua kuomba chochote..ukatokea ugomvi...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari ya mwaka mpya mabibi na mabwana. Kichwa cha habari kinahusika. Katika kautafiti kangu kadogo nilichofanya nimejiridhisha kwamba wanawake wanaotanguliza pesa katika suala zima la...
1 Reactions
73 Replies
9K Views
Ndoa nyingi ni kwa ajili tu ya kulala na kuamka, kulea watoto na kuzeeka pamoja mpaka kifo. * Wanandoa wengi ni mara chache sana kupeana busu na kukumbatiana wanapopata habari njema. * Mume...
7 Reactions
67 Replies
4K Views
Binafsi sielewi, Mbali na kukosa hela na kutokua na pamba kali, nimekua nikipokea attention za ajabu kwenye watu wengi. Wadada walonizidi, watu wazima na wake za watu wakifunguka kunitaka wazi...
4 Reactions
60 Replies
18K Views
Ukiibiwa kitu chako cha thamani ulichokihangaikia kwa jasho kukimiliki kama vile gari, pikipiki n.k then ukakitafuta na hatimaye ukafanikiwa kukipata unaweza ukapoteza shauku ya kumtafuta...
4 Reactions
20 Replies
6K Views
Hii tabia ya ku victimise wanawake wenye umri wa miaka 30 au zaidi haiko huku kwetu Afrika pekee. Huko China na Japani, mwanamke akishafikisha umri wa miaka 30 anaitwa makombo. Kijana yoyote...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Inauma sana Umri umenizidi, Wadhifa nao umenizidi bila kusahau Elimu na kubwa zaidi Kipesa na Kiutajiri umenizidi na sidhani kama hata kama nikijitahidi vipi nikufikie sitoweza lakini cha ‘...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Nipo kweye wakati mgumu au niseme naisoma namba.Ilitokea tatizo hapa juzi kati na mimi ndo nilikuwa mwenye kosa. Nikakiri kosa nikaomba msamaha, lakini huyu mwenzagu amegoma...
13 Reactions
138 Replies
13K Views
Kuna wakati unaweza kutamani kucheka badala ya kulia. Hii stori imenichekesha sana kwa uchungu Kuna swahiba wangu anafanya kazi Njombe huko kwenye shirika linalohimiza EFD mashine. Sasa huyu...
12 Reactions
162 Replies
11K Views
Nawasabahi ndugu zangu mlio wazima na wale wenye shida kidogo Mungu atatia wepesi. Niende kwenye kusudi maalumu, mimi ni kijana ambaye nikitazama idadi ya namba ya miaka yangu naona inakimbia...
0 Reactions
36 Replies
6K Views
Kama kuna mwana JF alieko mahali hapa tufahamishane..
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa taarifa tu ni kwamba kutokana na kuongezeka kwa Wambea na wala chabo katika Vyumba vya Watu ambao ni Wapenzi ' Wapangaji ' wengi siku hizi wamevumbua mbinu mpya ambayo kiukweli hata Mimi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom