Mbishi 4 real
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 640
- 657
Kwa kawaida mnapokua kwenye ulimwengu wa kupeana raha za dunia na mwandani wako inapendeza zaidi pale mnapokua mnabadilisha mikao tofauti tofauti ili kunogesha mchezo.
Tatizo linakuja pale ambapo wanawake wengi wa siku hizi wamekua wavivu sana chumbani sababu wengi wanapenda tu ile staili ya kizamani ya kifo cha mende.
Mara nyingi unapotaka kubalisha staili tofauti tofauti mfano ile ya mbuzi kagoma kwenda malishoni utawaskia "bwana iyo mimi siiwezi". Yani wanapenda staili moja tu ile yakukaa kama wanazaa.
Na tabia hii wanayo sana wale wanawake mabonge nyanya au wale wenye miili mikubwa. Wanakuaga na mbwembwe nyingi kabla hujaingia nae chumbani ila ukishaingia nae chumbani dooh ni tabu tupu.
Acheni uvivu wakinadada, kama vipi muwe mnafanya mazoezi ili muwe flexible kunako yale mambo yetu.