Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Awe anaishi around Old Bagamoyo road anzia Mbezi tank bovu hadi Bunju nimenenepa sana jamani hadi naamka nimechooka, jinsia yoyote au naomba mwenye mawasiliano na jogging club ya mitaa hiyo...
2 Reactions
71 Replies
5K Views
Wakuu, Kama uzi unavyoelezea, Mwanamke hafanyi mazoezi eti nae aende gym au akimbie barabarani ili apungue kilo au uzito, haya yote ni mbwembwe tu kwa mwanamke. Wewe kama umenenepa na una chura...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Ni mwanamke mpole, mstaarabu, mtiifu mvumilivu pia mwerevu ana upendo wa dhati anaweza kustahimili hali yoyote, sio omba omba nazungumza hivyo kwa sababu nimeisha jiridhisha mara kadhaa, Huyu...
8 Reactions
55 Replies
6K Views
Nipo hapa Morogoro kwa wiki kama mbili hivi sasa, nimetokea mkoani huko Kanda ya ziwa. Kwa siku chache nilizokaa hapa nimegundua mijitu ya hapa ni mivivu sana mabishoo mno halafu wengi njaa...
5 Reactions
41 Replies
10K Views
Salam wanajamvi, vipi habari yenu hii? Natumai mko salama kabisa, kuna tatizo ambalo limenichukua muda mrefu sana mpaka kufika kuweza kuliwasilisha kwenu ni kwa maana limekuwa ni tatizo sugu...
2 Reactions
119 Replies
9K Views
Sitaki kuongea sana kama unataka kahakikishe. Hii channel inaitwa BONGO SHOW TV. Yaan mpka sasa hivi mkunyenge haushuki maana niliyoyaona kule....... Mtakaoenda msiache kuleta mirejesho
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakati wa enzi zangu za kutongoza na kitafuta mwenza wangu nilijifunza na kuexperience kitu: Ukimtongoza mwanamke ambayo mmbaya/sio mwenye mvuto, chance za kukubaliwa ni ndogo sana kuliko...
1 Reactions
73 Replies
6K Views
You met a girl and you both fell in love... Month's by and you still going strong then she attached, calls you all the time, double texts you makes you her whatsapp profile picture, she sleeps...
10 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwa Mimi hapana..Girl hakua mtundu,sikua na feeling nae..niliona kama nimepoteza muda and my money...what about you Guys..
0 Reactions
29 Replies
2K Views
*HAPA BUSARA INAHITAJIKA* Mwanamke kaazima ndoo ya mpangaji mwenzake chumba cha pili ambae ni kijana hajaoa.Alipomaliza kuoga akajifunga khanga yake moja akatoka bafuni akairudisha ndoo, alipofika...
2 Reactions
36 Replies
2K Views
Nawaza kwa sauti kidogo kuhusu wanawake.. Jaman wanawake mnapokuwa faragha na wapenz wenu bas jaribun hata ufund kwenye lile tendo.. yaan utakuta mwanamke unafanya nae kwa mapenz lakn kama...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
WAKUU, NIMEKUMBUKA Siku ya kuoa nyakati za mwisho kabisa kabla ya watu kusepa, Mzee Baba alinipa madini yafuatayo; "Mwanangu chukua notibuku yako, Kuna vitu vichache muhimu naomba uviandike...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Huyu mchumba wangu tumekuwa pamoja katika mahusiano takirbani miaka miwili ila tuna tofauti za kidini yeye Muslim mimi ni Catholics. Tulikuwa tumepanga mwaka huu tufunge pingu za maisha (ndoa)...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Habari wadau; Nina rafiki yangu ambaye ananikera sana,amekaa uchumba na binti kwa muda ambao mimi nafikiri ni mrefu sana miaka 7+ kwa sasa hivi huyu binti anatafuta miaka 30 wakati amenitambulisha...
1 Reactions
21 Replies
9K Views
Wazima ? Wanaume acheni tamaa za magari au kwa sababu mmesikia kubebishana kwenye gari. Yani mwanaume anamiliki gari lakini anaishi chumba kimoja ndani ya chumba sasa ni tafrani. Yani anaogopa...
20 Reactions
174 Replies
15K Views
MPENZI WANGU ANATAKA ANIACHE KISA NIMESHINDWA KUMNYONYA SEHEMU ZA SIRI.... Mimi ni mwanaume wa miaka 27 sasa nakaribia kupoteza mpenzi kisa nimeshindwa kupitisha ulimi wangu kwenye sehemu zake za...
2 Reactions
307 Replies
31K Views
Guy's it's better to be single and at peace with yourself than to be in a relationship were you are miserable all the time. Open your eyes well. 1. A FAKE GIRLFRIEND will never call you except...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Mwanaume anasema anataka kukuoa ila sasa hata hakuulizii wazazi wako? Wala kujua kwenu ni ratiba tu za kugegedana, lini tunagegedana, lini utanipa blah blah uchumba upo hivi jamani? Sijui kama...
11 Reactions
74 Replies
6K Views
Back
Top Bottom