Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mazingira niliyokutana naye yalikua ni ya kupita tu(si unajua ujana) ila nikajikuta nimevutiwa naye baada ya kujua ana uwezo mkubwa wa kufikiri na hana haja na mambo ya ujana tena. Nikaona huyu...
16 Reactions
109 Replies
11K Views
mie ni msichana mwenye umri wa miaka 28,nimeajiriwa serikalini,natafuta mchumba ambaye tunaweza funga pingu za maisha,umri awe na miaka 29-35,awe mkristo rc,elimu degree na kuendelea,mwenye vigezo...
1 Reactions
37 Replies
8K Views
Habari zenu, Umri miaka 25 naishi Dar kama nilivyotangulia hapo mwanzo ni kweli kuwa nimechoka kuishi pekee nahitaji mwenza wa kuwa nae maishani kusaidiana katika dhiki na faraja tucheke wote...
9 Reactions
59 Replies
7K Views
Jamani kama kichwa habari kinavyojieleza, Ni mara pili sasa natafuta mume na sio mchumba.Umri 30+ awe mkristo na pia elimu ya kati awe mrefu mwenye upendo na mapenzi ya dhati. Mimi ni mkristo...
17 Reactions
175 Replies
24K Views
NAYASIKIA KWA WENZANGU LEO YAMENIKUTA! Mida ya saa tisa leo nikaenda kwa mshikaji wangu Mmoja ana M-pesa aniwekee hela nimtumie Mwana mmoja alikuwa na shida.....aah sasa tumekaa pale tunapiga...
1 Reactions
60 Replies
4K Views
Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya "Upendo" wa Wazazi na "Uono"(Sight).Ndio maana wazungu walisema "Out of Sight,Out of Mind". Hata kama leo mzazi/wazazi watakutana na mtoto wao baada ya miaka 10...
12 Reactions
22 Replies
8K Views
Ni kama mwezi tu toka nihamie mtaa mpya. Nimepanga kwenye nyumba nzuri tu vyumba vyangu viwili. Situmii muda mwingi hapa gheto kwani nakuwa busy na issue zangu. Ila kuna mama mmoja mke wa jirani...
8 Reactions
132 Replies
13K Views
Wanaume wa Dar... wanapofanya mapenzi wanakuwa na viungo kama wanapika pilau... Mara KY, condom, mafuta ya massage, Congo dust, pembeni redbull au roobust, maji makubwa na Konyagi Bado hawajala...
5 Reactions
43 Replies
4K Views
"Nimewahi kuomba ushauri hapa JF kuusu wake zangu wawili kama mtakumbuka umri nilishataja nilipata ushauri mzuri wengine walizingua mana huwa hawakosekani katika jamii ni kawaida sana kuwapo watu...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari wanajamvi, Leo rafiki yangu yamemfika ana watoto wake wawili mmoja ana umri wa miaka 4 wingine ana umri wa mwaka na nusu hivi. Huwa analala nao chumbani kwake yule mkubwa analala kwenye...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hakuna sababu au maelezo yoyote yatakayohalalisha tabia ya kumpiga mwanamke zaidi ya udhaifu, ushamba na unyama wa mwanaume mwenye tabia ya kumpiga mwanamke. Mwanamke na mwanaume wanakutana...
10 Reactions
298 Replies
26K Views
Nafikiri hili hata kuna wengine limeshawahi kuwatokea! Kuna wamama wawili na mdada mmoja (ambaye ni binti wa mama mmoja kati ya hao) naishi nao jirani, sasa hapo nilipopanga mtoto wa hio nyumba...
0 Reactions
9 Replies
987 Views
Aghalabu tumezoea kusikia uchawi ukitumika kwa waganga wa kienyeji, wanga, na wachawi wenyewe kuloga watu bila sababu yeyote ya msingi, uchawi upo wa aina nyingi hapa ulimwenguni lakini kila mtu...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Niaje Queen Darline aliulizwa unafanyaga mapenzi mara ngap kwa siku au week Akajibu: Nikikosa kufanya mapenzi nachanganyikiwa Je na wewe mwana JF ukikosa kufanya mapenzi unachanganyikiwaga? !
0 Reactions
113 Replies
10K Views
KANUNI 30 KWA WANAWAKE 1). Usinyanyue sauti mbele ya mumeo kwa sababu yoyote ile. Hiyo ni ishara ya utovu wa heshima. 2). Usifichue udhaifu wa mumeo kwa familia na marafiki zako. Itakurudia...
2 Reactions
24 Replies
5K Views
Kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi inasemekana kazi ya wanawake wanaozaa kwa upasuaji yazidi kuongezeka huku ikidaiwa kuwa wapo wanaofanya upasuaji huo bila sababu za msingi tofauti na wale wenye...
2 Reactions
200 Replies
67K Views
Juzi nilipata kibarua cha kukata majani huko Goba. Nilipewa pande hili na jamaa yangu mmoja hivi. Kwahio nilikuwa naenda kwenye kibarua huku boss simjui. Kufika eneo la kazi mjengo nilioukuta si...
16 Reactions
368 Replies
18K Views
STORY:FUNDA MOKO. MWANDISHI:KIBENTEN. SEHEMU:YA PILI...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari zenu ndugu na marafiki nakiri kwa sasa nipo katika wakati mgumu baada ya kuwa kwenye penzi zito na mrembo nimelazimika kutumia ID nyingine ili asinigundue muweze kunishauri ndugu zangu...
2 Reactions
96 Replies
9K Views
Wana MMU, Jana nilikutana na rafiki yangu baada ya kupotezana muda mrefu.Aliniambia kuhusu bachelor party zinavyofanyika siku hizi. Ukweli macho yalinitoka. Labda mimi bado nipo nyuma ya...
1 Reactions
41 Replies
6K Views
Back
Top Bottom