Usijifunue....!

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,836
730,296
Tunatofautiana tabia hulka mitazamo na maono...kuna watu ambao ni INTROVERT(Wasiri) na EXTROVERT(wafungukaji)hawa hawakai na jambo rohoni huwa hawarembi

Nikwambie kitu rafiki funguka kwa mtu unayemwamini baada ya kujidhihirisha kuwa anaaminika...usijifunie kwa public ambayo huifahamu ambayo itakusoma lakini wewe huwezi kuisoma

Tupo kwenye mtandao huru lakini tuwe makini na watu tunaowasiliana nao
YAMENIKUTA but I was smart and I managed it..

Take it from me si kila mmoja ni mwema kwako
 
■ INTROVERTS wengi ni:-

-Geniuses

-wakimya sanaa

-Hawakurupuki

-Wana marafiki wachache

◆ ILA PIA

-Wanapatwa sana na ugonjwa wa moyo

-Wanaonewa sana katika jamii

- Ni wagumu kusamehe na kusahau

-Inasemekana na kuaminika kuwa wengi hawaishi miaka mingi hasa kwa kufa kwa ugonjwa wa moyo na kupuuzia maradhi na magonjwa

■ EXTROVERTS

-Ni wenye kuongea sana hasa kwa wanayoyajua.

-Wana marafiki wengi sana

-wanasurvive miaka mingi kwani hawafichi sumu mwilini na rohoni kama Chuki, Hasira na kisasi

- Ni wepesi kusamehe na kusahau

◆ ILA PIA

-Wengi ni Vilaza

-Wengi ni wambea

-Mara nyingi hawawezi kujisimamia wenyewe wanahitaji support ya mtu au watu wengine.

JICHUNGUZE UKO WAPI?
 
extrovet Ila sio kilaza

umbea 50% 50%

kusimamiwa hapo kuna ukweli aisehhh!!
 
■ INTROVERTS wengi ni:-

-Geniuses

-wakimya sanaa

-Hawakurupuki

◆ ILA PIA

-Wanapatwa sana na ugonjwa wa moyo

-Wanaonewa sana katika jamii

- Ni wagumu kusamehe na kusahau

-Inasemekana na kuaminika kuwa wengi hawaishi miaka mingi hasa kwa kufa kwa ugonjwa wa moyo na kupuuzia maradhi na magonjwa

■ EXTROVERTS

-Ni wenye kuongea sana hasa kwa wanayoyajua.

-Wana marafiki wengi sana

-wanasurvive miaka mingi kwani hawafichi sumu mwilini na rohoni kama Chuki, Hasira na kisasi

- Ni wepesi kusamehe na kusahau

◆ ILA PIA

-Wengi ni Vilaza

-Wengi ni wambea

-Mara nyingi hawawezi kujisimamia wenyewe wanahitaji support ya mtu au watu wengine.

JICHUNGUZE UKO WAPI?
Mi n introvert Yan ukinikosea fanya Kaz kaniomba msamaha napenda sana kukaa na kinyongo sioni Kaz kukununia hata uwe Nan
 
Back
Top Bottom