Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,202
Tusifichane tuwe wakweli tu ndugu hivi kweli kuna dakika kwenye kufanya mapenzi? Maana vijana siku hizi utawasikia tu mimi bwana bao la kwanza napiga dakika 30.Mwingine utasikia mimi 45, mwingine atakuja eti dakika 20.
Nataka niulize tu kwa utamu ule wa pale kati mtu unapata wapi muda wa kuangalia saa kabla na baada ya game ili urecord ile minimum time used.
Mi ninachojua lile game halina dakika kwa sababu hakuna Refa atakaejua mwanzo wa mchezo wala mwisho wake.