Je, hizi sehemu za siri ni za siri kweli?

Je, hizi sehemu za siri ni za siri kweli?

Mr Surplus Economy

Senior Member
Joined
Mar 19, 2018
Posts
174
Reaction score
166
Wakuu heshima kwenu wakuu wangu.

Nimekua najiulizaga sana eti tunasema nyeti zetu ni sehemu za siri hivi ni za siri kweli?
Huyo aliyeziita hili jina alikuwa na maana gani hapa, hebu tisaidiane ndugu zangu...... Je alikuwa anamana kuwa zinaonekana kenye tukio maalumu tu la kufanya mapenzi tu basi?........ Au alikuwa anamanisha kenye mapenzi zinaonwa na wapenzi tu peke ake,,, naharusiwi kuona mtu mwingine tifauti na mupenzi wako?

Kama maana ni hiyo ya pili basi ni muongo kabisa. Hizi sehemu mimi sijaona kabisa usiri wake, maana watu wengi sana wanajua nyeti za wengine na zao zinajulikana na hao[emoji23]

Nianzie kwangu tu bila kificha yani hizi nyeti zangu wanawake wanaozijuwa tu sijui hata kihesabu nashindwa wengine nimeshawasau nakiwasau hahahaaaa[emoji23][emoji23]..... yaani kiasi kwamba kama ikatokea nimesingiziwa kesi ya kubaka nikakana basi waliounda kesi wanaweza tu kunikamata kiulahisi mana watamtafuta mwanamke mmoja tu ambae atazielezea nyeti zangu ka ufasaa wa 100% bila kukosea na mimi nitakua sina la kubishaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]

Lakini na wao pia ikitokea hivo nitawaumbua maana na mimi nazijua kweli kweli za kwao hahaaa..... Dah iwa inafika mda najiuliza huu usiri una mana gani na hali ya kuwa zinatambulika tu na watu wengi? Si mmoja tu anayezijua?

Wakuu nawasilisha kwenu hebu munisaidie hili jambo huo usiri uko wapi???
Hebu nisaidieni wakiu......
 
Ohoo, sasa mbona km hv mwili wote ungeitwa sehemu you siri maana tunaficha vingi mbona sasa?
Mambo mengine yanaeleweka yakiwa practically, utashi ndio kitu kinacho mtofautia binadamu na wanyama wengine.
Sasa kama wewe pia huelewi hilo unatofauti gani na mbuzi!!!
 
Mambo mengine yanaeleweka yakiwa practically, utashi ndio kitu kinacho mtofautia binadamu na wanyama wengine.
Sasa kama wewe pia huelewi hilo unatofauti gani na mbuzi!!!
Sawa Mkuu, kuna kitu umeweka sawa hapo ni mambo mengine hayo yanajulikana tu practically asante mkuu
 
Back
Top Bottom