Njia mbalimbali za kupata furaha!

Njia mbalimbali za kupata furaha!

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,473
Reaction score
31,966
Inavyotajwatajwa japo inaweza kuwa sio kweli eti watanzania hawana furaha.
Kwa uzoefu wangu haitakaa itokee mwanasiasa akaahidi kuleta furaha nchini kwani Furaha ni mchanganyiko wa mambo mengi sana.

Kwa afya ya akili hebu tujadili njia mbalimbali za kuleta furaha ....

Mshanajr najua hapo ulipo una furaha!
 
Ana furaha kwa sababu kapata mtoto mzur wa kumfurahishaaaaa
 
leo ni siku ya furaha duniani
 
Jinsi ya kupata furaha maisha yako yote.

1. Kula fegi ( sigara ndogo), kula siga ( sigara kubwa ) , kula bomu ( bangi )

2. Kuwa na mademu wengi ila wakali

3. Miliki pesa mpaka uchome moto zingine.

4. Miliki watoto kila mtoto na mama yake.

5. Saidia watu katika jamii yako.

[emoji4] [emoji106]
 
Back
Top Bottom