Bora uke/uume unyofolewe roho isalimike uingie katika uzima

Frank King

JF-Expert Member
Oct 7, 2012
1,310
886
Basi mkono wako au mguu wako ukikukosesha, ukate ukautupe mbali, ni afadhali kuingia katika uzima hali umepungukiwa mkono au miguu miwili kuliko kuwa na mikono miwili au miguu miwili nakutupwa katika moto wa milele.

Na jicho lako likikukosea, ling'oe, ukalitupe mbali nawe, ni afadhali kuingia katika uzima una (chongo) kuliko kuwa na macho mawili nakutupwa katika Jehanam ya moto.

Intermission.
Watu wanaamka asubuhi wanawaza ngono, mwanafunzi upo darasani hapo unawaza gono, kijana upo chuoni tena class, lakini unawaza ni saa ngapi utoke ukafanye mapenzi.

Upo ofisini now unawaza namna utakavyofanya mapenzi na mfanyakazi mwenzako uliyemsotea yapata mwezi wa nne huu, angalia yule baba (anautupa) sasa hivi na ana mke wa ndoa.

Kuna hawa wanapiga punyeto mda huu yani ni shida, taabu, mahangaiko mateso yote ni ili mtu (autupe) tu afurahi.

Hichi kiungo kimechafua hali ya hewa kwa asilimia kubwa kwakweli kwa nionavyo mimi ni bora andiko hili litimie (Math 18:8)kwa kunyofoa pawe kabisa ndiyo unashanga nini sasa?

Kama ni mwanaume kata tupia hata mtoni, kwanini kikuharibie bwana yes! Na kama ni mwanamke kanyofoe tupia hata mbwa, potelea mbali ni bora tu roho isalimike na mwendo tuumalize ili hali imani tumeilinda.

Nawasilisha.
 
Tuanze na wewe unaewawazia wenzio ngono ilhali wako busy madarasani kuitafuta elimu na wengine bize kujenga taifa lenye fly over kila kona.
Nilijua kati ya majibu niliyoyategemea mojawapo kuu ni hili...
Nikwambie tu rafiki huu ndio ukweli...badilisha mtazamo.
 
Nyie mnao ongea hivyo baada ya miaka kadhaa ndiyo mnakuwa mafundi balaa....

In short usihukumu kila mmoja anayo njia yake aliyepangiwa na Bwana.

Then kula ujana mpaka uchoke kupata uokovu ni baada ya kuwa mzee.

Kingine wewe umejuaje kuwa kila muda kila mtu anawaza ngono kwani wewe huna hicho kiungo kwani hutaoa ukashiriki ngono
Tafadhali usimkwaze mwenzio kwa kutoa hukumu hujui maisha yke na storia yke fanya yko hya mambo ypo na yalikuwepo na yataendelea kuwepo we si wa 1 kunena hya.

Anza kutoa kibanzi kwako ndo uwanyooshee wengine vidole.
Asante. .
Lkn yote kwa yote safisha ufahamu wako kisha install vitu vipya vyenye kukunufaisha na vyakumpa Mungu utukufu...yaani Mgegedo uwe ni sehemu flani tu ya ndoa katika kiasi.
 
Nyie mnao ongea hivyo baada ya miaka kadhaa ndiyo mnakuwa mafundi balaa....

In short usihukumu kila mmoja anayo njia yake aliyepangiwa na Bwana.

Then kula ujana mpaka uchoke kupata uokovu ni baada ya kuwa mzee.

Kingine wewe umejuaje kuwa kila muda kila mtu anawaza ngono kwani wewe huna hicho kiungo kwani hutaoa ukashiriki ngono
Tafadhali usimkwaze mwenzio kwa kutoa hukumu hujui maisha yke na storia yke fanya yko hya mambo ypo na yalikuwepo na yataendelea kuwepo we si wa 1 kunena hya.

Majibu yenu vijana wa mmu yanaonesha ni jinsi gani mmeweka mgegedo mbele kuliko kiasi...sikulazimishi kubadili mtazamo rafiki ila utavuna unachokipanda..
Katika uwanja wa Mafanikio kiroho na kimwili akili yako ikitekwa na Ngono hakika mwisho wako ni mbaya zaidi ujuavyo.
 
sasa mbona kama kufuru ii...kwan Mungu alipoweka alikuwa ajui anaweka kwa matumizi gan mpaka wewe uje ukinyofoe??
 
Huwez kumjua mchawi kam wew sio mchawi

So ili ufikirie kuwa fulani anawaza NGONO, bas ni wazi wew utakuwa umeiwaza mara 100 elfu kidogo
 
sasa mbona kama kufuru ii...kwan Mungu alipoweka alikuwa ajui anaweka kwa matumizi gan mpaka wewe uje ukinyofoe??
Pawe na kiasi na sii kushindia nakuwazia yaani umefanya ngono ndio dozi na chakula....ni bora ukinyofoe.
 
Majibu yenu vijana wa mmu yanaonesha ni jinsi gani mmeweka mgegedo mbele kuliko kiasi...sikulazimishi kubadili mtazamo rafiki ila utavuna unachokipanda..
Katika uwanja wa Mafanikio kiroho na kimwili akili yako ikitekwa na Ngono hakika mwisho wako ni mbaya zaidi ujuavyo.
Kumbe M.M.U hujalazimishwa kuhudhuria hilo jukwaa, na M.M.U ni jukwaa linalo husu mapenzi kwa ujumla,

We nenda jukwaa la siasa, elimu, n...k...

Halafu lazima ujue kutofautisha kati ya kitu fulani na matumizi yake huwezi kuingia jukwa la M.M.U halafu tuongee mambo ya mpira, au siasa hapo unafeli mzee baba.

Matumizi ya kalamu ni kuandikia na siyo kufanya mwiko.

Huku kote tupo kila siku ila si viherehere..vija wa juzi mnamikwara kwelikweli. .
Sawa nimekuelewa
 
Majibu yenu vijana wa mmu yanaonesha ni jinsi gani mmeweka mgegedo mbele kuliko kiasi...sikulazimishi kubadili mtazamo rafiki ila utavuna unachokipanda..
Katika uwanja wa Mafanikio kiroho na kimwili akili yako ikitekwa na Ngono hakika mwisho wako ni mbaya zaidi ujuavyo.
Kwani huku sehemu ya mahubiri ??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom