Kwanini wanawake wa sasa hivi, hupenda makalio ya mchina?

Mar 21, 2018
35
6
Nimekuwa nikitafakari kwanini nyakati hizi mwanamke asiye na inye, wezele, vodo, miuno ya kuzunguka, hawapendi kupata vijana wa kuwakata maji?

Je kwa ile miuno kunanini ambacho ni cha thamani sana kuliko wale wasiyo na makalio (wembamba?)

Kama kuna utamu tofauti, kwanini wale ambao wamebahatika kulala na mabinti wenye miuno wasitusimulie siri ili nasi dada zetu tuwajuze hilo?

Naomba jamani munisaidie ufafanuzi zaidi
 
Ngoja waje kukujibu wakiamka mkuu...usiwe na wasiwasi utaipata majibu mubashara.
 
Wewe unawaza kuyatumia kwa 'kuyala',wenziyo wanawaza kuyatumia kama mapambo, kwa ajili ya kuangalia na kufurahisha macho.
Hapo lazima kimantiki mtatofautiana tu na mjadala hautakuwa na mwisho.
Kwa upande wangu ninavyoelewa uthamani wa kitu, kama siyo kutumia mizani, kama ni kuthamanisha kwa macho, basi kitu kikubwa hubeba thamani kubwa pia.
Kwa mfano kwenye mnada wa ng'ombe, yule mwenye nundu kuubwa, huangaliwa kama ng'ombe mwenye thamani kuliko asiyekuwa na nundu, ingawa wakichinjwa, yule asiye na nundu, nyama yake yaweza kuwa nono na ladha tamu kuliko yule mwenye nundu ya kutamanisha na kuvutia 'wawekezaji'.
Na ndivyo ilivyo kwa viumbe wa Mungu unaowajadili wewe.
 
hakuna raha kama kulalia matako makubwa wkt wa sex, akijitksa kidogo tuu wazunguu haoooo
 
Ila kuna wasio namakalio ila wanajua sana kazi
Ingawa Mimi mwenyewe ni mhanga wa kupenda big butt
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom