Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hapo vip!! Leo Mama angu mzazi amenipigia cmu akaniambie nataka uoe ili nimuone mtoto wako, of course my mother anaumwa kwa muda mrefu. Me hapa bdo sijajipanga mchumba wa serious sina...
3 Reactions
51 Replies
5K Views
Huwa nashangaa sana kwa nini wanawake wanataka kuolewa na mwanaume wenye mali ikiwa wenyewe ni masikini .Kwanini sisi wanaume tunakubali kuishi na mwanamke asiye na kitu ikiwa wenyewe hawawezi?
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Hivi huwa mnajiskuaje wanaume hili linapotokea. Mkeo au mpenzi wako kumsifu mwanaume live mbele yako... Au anakwambia.... 'hubby unajua ww ni cute ka AY' wakati wewe unajijua kabisa sura yako...
2 Reactions
125 Replies
10K Views
Wanawake kwanini mnatuwazia mabaya yaani nyie muda wote mnawaza sisi tunachepuka tu, Ukichelewa kurudi nyumba shida uko kwa wanawake, ukipigiwa simu usipokee may be ulikuwa mbali nayo ulikuwa na...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Unakutana na mwanamke kachoka mbaya hata hela ya lotion hana anajipaka mafuta mgando yale ya mia mbili yaani kachoka haswa watoto wa mjini wanasema "yupo juu ya mawe " pasipo kujali unaamua kuoa...
7 Reactions
37 Replies
5K Views
Kumekuwepo na kasumba vijana wengi kuwaogopa wanawake wenye mafanikio ya kipato au kielimu, mathalani ni nadra sana kijana ambaye hana elimu kubwa kutaka kumuoa binti wa Mwenye elimu, hivyo hivyo...
26 Reactions
79 Replies
13K Views
Sijui nini kimetusibu wanaume hadi kushindwa kudhibiti ndoa zetu, tunaendeshwa kama magari mabovu, wanawake wametupanda kichwani. Imefika sehemu wanaume hatuna sauti tena ndani nyumba...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Girl, as long as you, wrap your arms 'round me Baby I don't care what them people say I'm givin' you whatever you want Girl, you know I can provide Whatever you need Whatever you need, babe Listen...
9 Reactions
128 Replies
6K Views
Wadau nna demu nilikuwa nae mda mrefu nikagundua ana wanaume wengi na mmoja wao walikuwa na mpango wa kuoana. Baada ya kumshutukia akaamua kuniacha ili abaki na uyo anayetaka kumuoa. Sasa uyo...
1 Reactions
54 Replies
6K Views
Naamini mapenzi ni kama maua yanaweza kuota popote, siku zote atafutae huwa hajui kama atapata lini na wapi. Wapenzi wanaweza kutana popote, yawezekana ikawa msibani, safarini kwenye harusi...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Heri yako wewe unayesaka Mke mwenye TABIA NZURI,mi huo Msako nimeacha siku nyingiii,Kama ni Tabia nitamuazima Tabia zangu tukishaoana..Kisa cha Kujinyima vitu vizuri kisa nasaka MAMA PAROKO...
5 Reactions
39 Replies
3K Views
Natumaini mko na afya njema katika jamii ya kitanzania wanawake wengi wanavaa nywele za bandia a.k.a mawigi. Utafiti wangu wanawake hawa wavaa mawigi wanadai kuwa yametengenezwa kwa katani, Kitu...
9 Reactions
222 Replies
24K Views
Huyu shost ameolewa ni mwaka wa tano huu hakuna dalili ya mtoto. Mama mkwe amechoka kusubiri anamsubiri kwa hamu mjukuu kutoka kwa mwanae wa pekee. Mama ameamua kuja kukaa pale asaidie kama kuna...
14 Reactions
32 Replies
5K Views
Miaka ya zamani ilikua ni kawaida kusikia fulani ametafutiwa mke kwao ameoa. Nashangaa jinsi gani watu wa zamani walivyokua jasiri, yaani unakabidhiwa bidhaa ambayo inabidi tu uipokee jinsi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nawasalimu sana wana jukwaa, itifaki imezingatiwa! Ni mara kadhaa nimekuja hapa kuomba ushauri juu ya mahusiano yangu yalikuwa na utofauti mkubwa " Ikumbukwe utofauti unapokuwa mkubwa katika...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ni upande wa nyuma kwenye ka.li.o mita chache km unaelekea ikulu. Unakuta binti kapaka mafuta sehemu zooooooote ila pale pakavuuuu. Mnatukata stimu wapenzi wa mbuzi kagoma a.k.a doggy. Msifanye...
1 Reactions
45 Replies
4K Views
Nimekaribu kuweka uzi juu ya namna wanaume tunavyo wachukulia wanawake pale wanapo tutongoza Ieleweke kuwa mwanaume itabaki kuwa mwanaume tuu... Hata mwanamke akutongoze vipi mkiwa chumbani...
0 Reactions
5 Replies
800 Views
Tamasha ya uume maarufu kama "Kanamara Matsuri" ni moja ya sherehe ambazo hufanyika nchini Japan,kusherehekea umuhimu wa uume katika jamii. Tamasha hiyo inaaminika kuwa ilianza katika karne ya 17...
1 Reactions
0 Replies
843 Views
Habari za Jioni Wakuu, Naona kumekua na wimbi la wanawake wadangaji kwenye mtandao pendwa wa professionals kwa jina la Linkedin. Hawa wadangaji walianzia Badoo, wakaenda facebook ikachuja...
3 Reactions
71 Replies
13K Views
Umri wa kuoa ni miaka mingap….... Maana mi hapa nyumban kila siku nakumbushwa Alaf sijui kutongoza yule ninayemtaka namwacha apite coz nahisi nikimwita kumtongoza…… atanishushua na kunikataa NINA...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom