Sijui nini kimetusibu wanaume hadi kushindwa kudhibiti ndoa zetu, tunaendeshwa kama magari mabovu, wanawake wametupanda kichwani.
Imefika sehemu wanaume hatuna sauti tena ndani nyumba tunapelekeshwa pelekeshwa tu, kifupi wanaume wengi wapo kama makomandoo.
Hivi tatizo ni limbwata au tumelogwa? Yaani inafika sehemu mwanamke anakupangia matumizi ya pesa yako, usimsaidie hata mama yako.