JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,118
- 4,880
Wadau nna demu nilikuwa nae mda mrefu nikagundua ana wanaume wengi na mmoja wao walikuwa na mpango wa kuoana. Baada ya kumshutukia akaamua kuniacha ili abaki na uyo anayetaka kumuoa. Sasa uyo anayetaka kumuoa naye kamtosa baada ya kugundua yuko na mimi na wanaume wengine. Sasa huyu dem anajua mimi nampenda sana na sina pa kwenda basi kila mara ananitext kunijulia hali na mimi huwa namjibu kirafiki. Huyu mtu anashida gani na mimi? Au anataka nimrudie anivuruge tena jamani?