Tamasha la kanamara Matsuri

sam leon

JF-Expert Member
Jan 29, 2017
890
1,188
Tamasha ya uume maarufu kama "Kanamara Matsuri" ni moja ya sherehe ambazo hufanyika nchini Japan,kusherehekea umuhimu wa uume katika jamii.

Tamasha hiyo inaaminika kuwa ilianza katika karne ya 17 ambapo makahaba walikuwa wakienda katika hekalu ya Kanayama kuomba kwa ajili ya kijikinga kutokana na maambukizi ya magonjwa ya zinaa.

Leo, tamasha hiyo imeelezewa kuleta ufahamu juu ya vitendo vya ngono salama na njia za kuzuia kupata ugonjwa wa Ukimwi.
 
Back
Top Bottom