Mwanaume kwanini unafunga ndoa na mwana mke asiyekuwa na kitu ikiwa wao wanataka mwanaume mwenye mafanikio?

never Se me

JF-Expert Member
Feb 7, 2018
702
1,006
Huwa nashangaa sana kwa nini wanawake wanataka kuolewa na mwanaume wenye mali ikiwa wenyewe ni masikini .Kwanini sisi wanaume tunakubali kuishi na mwanamke asiye na kitu ikiwa wenyewe hawawezi?
 
Kila mtu hutafuta kitu ambacho hana
Sasa yeye maskini atafute maskini ili iweje

Sema mkuu unakisa tu
 
ngoja nikupe siri moja mate
mwanamke akishakua mzuri anahitaji mume mwenye pesa sio kazi afanye

sijui umeeelewa
 
uwanashangaa sana kwa nn wanawake wanataka kuolewa na MWANAUME wenye Mali ikiwa wenyewe ni masikini .kwa nn sisi MWANAUME tunakubali kuishi na mwanamke asiye na kitu ikiwa wenyewe awawezi
Nimesoma kichwa cha habari nikajikuta natafakari sana na kisha kutabasamu.
 
Back
Top Bottom